Changes don't come over night, clear cut win registered, hoping for the best!Tottenham have won but still the same Tottenham.
Mi ningepiga nje...Lacazette anampenda kocha wake si angetoa nje tu.
Timu ipo pale pale haina mabadiliko yeyote.Lacazette anampenda kocha wake si angetoa nje tu.
Haya yote ni uzembe wa kocha lakini...yeye ndo kashindwa kurekebesha makosaWakuu tutamlaumu sana kocha ila timu yetu ina matatizo makubwa mawili ambayo nimeyaona;
Kwanza timu haitengenezi nafasi nyingi za kufunga, dakika zote 90 timu inatengeneza nafasi 3 tu hapo unategemea nini?.
Pili timu haina uwezo wa kuzuia, inaruhusu mashambulizi mengi ambayo huletea kufanyika kwa makosa mengi golini.
Hali ikiendelea hivi tutarajie maumivu zaidi.
Hahahahahahahahah Mkuu habari yako nduguBodi sijui watamtimua huyu nyang'au
Nliisema na narudia hii kauliSijui hata matokeo yatakuwaje ili mradi yupo Mhindi hapo kwenye benchi Kufungwa kushinda hata sare inaweza ikatokea tusijipe sana matumaini sababu hapo hapo Emirates mechi 2 za mwisho tumeshindwa kushinda kitu ambacho si kawaida nasubiria kwa hamu kuona hali ya uwanjani na Mashabiki sura zao
Dah Nipo tu sijatulia mzeeHahahahahahahahah Mkuu habari yako ndugu
Sasa kama timu haishambulii na haiwezi kuzuia, wewe unataka tumulaumu nani kama sio kocha?Wakuu tutamlaumu sana kocha ila timu yetu ina matatizo makubwa mawili ambayo nimeyaona;