Wala msihofu jamani..mpira ukiisha Edu atabaki na mashabiki uwanjani nusu saa yote[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahahahahahahhahahahahahahahahLeo Ozil kacheza?, Laca je? Vipi kuhusu kipepe [emoji23][emoji23], je beki namba 3 bora Tierney alikuwepo?
Hivi hawa Sotton ndio walipigwa kwao goli 9-0?
Timsubiri Edu aseme neno [emoji1787][emoji1787]