Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Mourinho asilan abadan hawezi pesa kazi arsenal that is clear. Na hilo linasababishwa na mambo mengi tu yakiwemo kumtukana Wenger waziwazi.Mou hapana mkuu, We are arsenal the gunners, remember the philosophy, kitu kitachomuondoa Unai Arsenal sio matokeo mabovu tu ila na mpira mbovu anaofundisha, hii imefanya Fans wengi tumeshindwa kumvumilia hasahasa hilo la mpira mbovu, Poch ni bora kuliko Mou kwa style ya Arsenal.
Kwangu mimi Mou aende spurs ikiwezekana Poch aje Arsenal.
hii ID yako hatuitaki kwenye huu uzi wa arsenal asee unatutia hasira tu
