Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelsea
Pumbavu sana unaukubwa gani wewe labda ukubwa wa matatizo mlionayo kwenye litimu lenu,lakini hongereni kwakubakia kwenye top ten ya msimamo wa Epl.Sisi sio wa kulilia big4 kijana ,sisi sio timu ndogo kama chelsea
Na mwaka jana kidogo atupe eurpaSisi The gunners HALISI tuko na Unai kuna watu humu wamevamia jukwaa letu wakimtuhumu kocha wetu ambaye mwaka jana kidogo tu atupeleke top four,mtuache na team yetu "once a gunner always ......
Hizo apigwe tuAaron Arsenal, Mechi sita ziwaje?? ashinde zote au aturudishe Top 4, au afanye kitu gani kwenye hizo mechi 6.
Wala usipate taabuAaron Arsenal, Mechi sita ziwaje?? ashinde zote au aturudishe Top 4, au afanye kitu gani kwenye hizo mechi 6.
Waache wamtetee@Aroon Arsenal, nliwahi kukwanbia Raul ndio mwenye funguo ya Emery, huyu ndio mwenye ushawishi wote wakumtetea Emery, wewe jiulize juzi alikuwa King power na yule Edu, eti wanasema timu ilicheza vizuri waliridhishwa.
Walipigwa sana kabla ya kumtimuaNamkubali yule boss wa MAN U, hanaga ujinga wa kumchelewesha mpumbafu, Mourinho alivyopigwa Anfield walilizoom na hasira km zote, yaani asubuhi tu Mourinho akapewa virago vyake.
Mimi nlivyosikia paka Xmass kwanza nilifurahi, najua hawezi toboa hata wampe paka january,wewe kwenye last 17 games kashinda sijui 4,Waache wamtetee
Mashabiki UK wameshawaambia wasitarajie uwanja kujaa kama wanaendelea kumkumbatia
Taarifa kutoka kwa Charles Watt inasema Ndan ya bodi wanaomtetea ni Wengi kuliko wanaomkataa , na wengi wanasema aangaliwe hadi X MASS ,
So acha tuone itakuwaje
Huyo inajulikana hawez toboaMimi nlivyosikia paka Xmass kwanza nilifurahi, najua hawezi toboa hata wampe paka january,wewe kwenye last 17 games kashinda sijui 4,
Natamani kama tungekuwa tunaenda kwa Soton away next match, thn next stop kwa West ham away,mbona wangemtimua kwenye hizo game mbili tu.
Gooners Let give unai more time to prove himself, uzuri bodi imejifunga yenyewe, si wamesema paka December kama hana progress anafutwa kazi.Hii ishu ya Unai ni nyepesi sn, sio km Wenger hatukuwa na Uhakika ataondoka lini.
Chelsea amechukua PL ngapi? na lini?
Miaka 14 iliyopita umechukua PL?
Chelsea amechukua UCL?
Jipime kijana.
Mkuu kwa kawaida kocha yeyote ana backup ya Bodi bila hata kutoa statement kama ilivyofanyika kwa Arsenal. Otherwise iwe tofauti.Waache wamtetee
Mashabiki UK wameshawaambia wasitarajie uwanja kujaa kama wanaendelea kumkumbatia
Taarifa kutoka kwa Charles Watt inasema Ndan ya bodi wanaomtetea ni Wengi kuliko wanaomkataa , na wengi wanasema aangaliwe hadi X MASS ,
So acha tuone itakuwaje