Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naunga mkono hoja kwa moyo mweupe
 
Ana EUROPA LEAGUE tatu tena back to back moja akamzibua Klopp mpaka yule mjerumani akalia kama mtoto mdogo.

Ametwaa League one unapata wapi ujasiri wa kusema hajawahi kuwa kocha ?

Epl ni league ngumu sana kuliko league zote ndiyo maana makocha wengi wenye profile kubwa tu huwa wanasanda.
Arsene Wenger
Raul Sanchez
Rafael Benitez
Juan De Ramos
Luis Felipe Scolari
Luis Van Gaal
Gerald Houllier
Gus Hidink
Sven Goran Erikson

Orodha ni ndefu sana msimuonee Unai Emery kwa udhaifu wa mentality ya club yenu.
 
“1 shot on target tonight!! 2 wins in 10 in the league,"
"No definitive style or plan. Negative goal difference. No improvement in the defence. Not creating anything. Why would Laca or Auba renew? Can't blame them!

"We have to make the tough decision Arsenal! It's not getting better!”.....Ian Wright
 
Nakazia Carlo Anceloti naye ni kocha mwenye CV kubwa sana kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE 3 kwa nchi mbili tofauti na vya ligi kuu vya nchi mbali mbali lakini alipokuja EPL chini ya CHELSEA FC, aliboronga sana hadi akatimkia Real Madrid FC.
 
Sasa wanataka EMERY aondoke ili washuke zaidi ?
Maana toka 2003 hawajahi kuwa na mategemeo ya ubingwa, sasa wanataka emery apiganie nini wakati wenyewe ni washiriki wa league tu kama Watford ?
Anapigania topten
 
EPL ni league yenye pressure kubwa sana Pep mwenyewe huwa hana uhakika wa kushinda game hata kama anacheza na timu ya championship
Nakazia Carlo Anceloti naye ni kocha mwenye CV kubwa sana kwa kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE 3 kwa nchi mbili tofauti na vya ligi kuu vya nchi mbali mbali lakini alipokuja EPL chini ya CHELSEA FC, aliboronga sana hadi akatimkia Real Madrid FC.
 
Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao

Kwa taarifa yako yule mzee kashindwa kupanga kikosi

Ukilinganisha na misimu miwili nyuma au mitatu kwa sasa arsenal ina kikosi kizuri sana

Tena ina kikosi cha ushindani shinda ni technical za mwalimu

Kingine ukiachana na liverpool na man city hakuna timu nyingine yenye forward kama arsenal.
 
Kwanza Emery anajitahidi sana kwa squad yao
Kwanza sisi mashabiki wa team nyingine tunampenda Unai hana tatizo kabisa ,watu walilialia Ozil acheze akamchezesha wakafungwa kabisa ,mashabiki wa arsenal wanampa wakati mgumu kocha bora kabisa Europa 3,ligue 1 kibao ....
 
Hujui unachokisimamia.

Laurent Branc pale PSG kwani hakuchukua hizo ligue 1 ?? sasa yeye alifanya nini kuonesha ni Upgrade ya brac baada ya kupewa kazi pale?? Au na PSG hawakuwa na best players??

Wenger kafukuzwa Arsenal kwasababu ipi ?...yeye unai kafanya nini kuonesha utofauti wake na Wenger?

Europa hata kocha aliyekuwa kilaza wa mafanikio sarri kabeba
tena mbele yake.Eti alimfunga klopp??
si amfunge na sasa hivi
 
Si ndio hapo mkuu,sisi timu yetu tunaijua vizuri, tumeshacheza na wachezaji wa ovyoo, mtu kama Frimpong na wengine wengi lakini mpira ulionekana, eti leo tuna Ceballos,ozil,Xhaka bado kupiga pasi kumi tu inakuwa kazi.


Afu unakuta mtu anamsifia kachukua Europa,
si aende Sevilla huko akachukue Europa, atuachie timu yetu bhn hatutaki ujinga huu.Arsenal tunaijua kwa style yake ya uchezaji na ndicho tulioipendea.
 
I second this. Tuna wachezaji wazuri sana ukilinganisha na wakati wa Wenger, lakini ndio hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…