isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Taarifa za chini ya kapeti , Ameomba kuuzwaNakumbuka, Granit Xhaka alisaini miaka 3/5 mwaka jana baada ya Emery kufika.
Sasa sijui yeye ndiye atavunja mkataba au Arsenal ndio itamuuza. Je yeye atapenda kwenda au hapana?!.
Tusubiri tuone, January sio mbali propaganda zifikie kikomo.
Arsenal kama taasisi watakuwa wapuuzi. Mashabiki ndio chanzo kutokana na sababu za upuuzi wa kocha.Taarifa za chini ya kapeti , Ameomba kuuzwa
Na Arsenal imeamua kumuuza January , Intermilan , Everton , wanamuhitaji
Atauzwa kuanzia £30-40m
Wazungu wangekuwa wanafikiri hivi club zao zingekuwa kama Simba na Yanga. No offense though...Club ni kubwa kuliko mchezaji waondoke tuu watakuja wengine.
Hapo sasa..inatakiwa sasa na siyo mwezi sijuwi lini..Mgt ya Arsenal inasubili timu iwe hoi bin taaban ndio wafukuze kocha? Maana wapo kimya kama vile hawaoni kinachoendelea.
Domo kaya ni shughuli. Nashangaa gooners wana entertain ujio wake😓☹😞😟 the prick is absolutely a team wrecker....Afadhali aende tu huko
Mtu wa maboko huyo aende tuArsenal kama taasisi watakuwa wapuuzi. Mashabiki ndio chanzo kutokana na sababu za upuuzi wa kocha.
Xhaka ni mchezaji mzuri na muhimu.
Kwanza mbinu zake za kupaki basi watu washazijuaDomo kaya ni shughuli. Nashangaa gooners wana entertain ujio wake😓☹😞😟 the prick is absolutely a team wrecker....
Management inasubiri tuwe na hali mbaya ndio ifanye maamuzi.'If I were Arsenal, I'd be breaking the bank to get him'
Paul Merson believes Gunners should replace Unai Emery with Leicester boss Brendan Rodgers
Merson says Arsenal should replace Emery with Leicester boss Rodgers MailOnline Sport on Twitter