Haya mkuu tunayaongea kila siku, we usijipe presha wewe just relax tu, huyu jamaa hata wamvumilie vipi itafika muda atafukuzwa tu, uwezo wake ni mdogo hautomfikisha popote.Jamani hamjasikia tetesi tetesi za Unai kufukuzwa huko kwenye ma social media ya Ulaya?.. Yaani huyu kocha siku akifukuzwa nitaandaa sherehe ili kusherehekea mwisho wa karaha na mateso anayotupa. Yaani tuna kocha mkuda sijapata ona, yaani sijui kwa nini hapendi torreila axheze kwenye position yake ya DM!.. Always anamchezesha out of position na anamtoa dk za 70+, na kila akimtoa baada ya dk 10 tunakuwa yumeshafungwa,, sasa cjui kwa nini huyu jamaa hajifunzi. Bodi ya Arsenal inatakiwa wafanye maamuzi magumu mapema, wakiendelea kumvumilia huyu mpuuzi tutajikuta tupo nafasi ya 10+ siku chache zijazo!.
Mimi kuna hisia zinaniambia next game against leicester Unai is gonna be sackedNgoja tarehe 9 saa 5 kama unai atakuwa kwenye benchi la Arsenal naapa narudia tutarudi humu kuandika kulalamika na matusi juu
Kama atakuwa benchi katika hii mechi tusitegemee chochote kipyaMimi kuna hisia zinaniambia next game against leicester Unai is gonna be sacked
Ngoja tusubilie mwisho wakeHakuna kitu kama icho, David oinstein alishakanusha hizo tetesi, unai ana mkataba wa miaka mitatu.
Goli la Ayew vs palace ,goli la Origi la tano vs liverpool, na goli la Raul vs Wolves leo ni magoli ya aina ileile yanafanana,Ukweli mchungu ndugu, tunafungwa magoli mepesi sana. Pia mbinu za kocha kwenye kujilinda ni mbovu.
Haiwezekani ukubali kushambuliwa muda wote ikiwa huna wachezaji wenye uwezo wa kukaba.
Hii Arsenal hata ikitangulia goli tano zinaweza kurudishwa zote.
Unai hawezi kukaa Arsenal miaka mitatu kwa matokeo haya mkuu, Na ikitokea hivyo naamia Charlton Athletic ya kina Darren Bent na mdogo wake yule sijui nani Bent...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja tusubilie mwisho wake
Mkuu ndio maana nasema atafukuzwa tu, hiyo mechi sioni tukishinda labda by chance.Leicester wenyewe wanajua wakitupiga wanajitengenezea mazingira mazuri ya kukaa top 4, Na huo uwezo wanao mkuu, tena na hivi wapo Home.Kama atakuwa benchi katika hii mechi tusitegemee chochote kipya
Huyu kocha anambinu mbovu sanaUnai hawezi kukaa Arsenal miaka mitatu kwa matokeo haya mkuu, Na ikitokea hivyo naamia Charlton Athletic ya kina Darren Bent na mdogo wake yule sijui nani Bent...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenger kakaa miaka 23 na makombe matatu na mlishindwa kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa huyu. Kumtoa kocha inahitaji hela ndefu mazee..mtapata tabu sanaaaaaa.Unai hawezi kukaa Arsenal miaka mitatu kwa matokeo haya mkuu, Na ikitokea hivyo naamia Charlton Athletic ya kina Darren Bent na mdogo wake yule sijui nani Bent...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui mpira mzee ni bora ukae kimya, we ulitaka awe na mangapi? nenda na wewe tuone utatoka na mangapi.Wenger kakaa miaka 23 na makombe matatu na mlishindwa kumtoa, hamna uwezo wa kumtoa huyu. Kumtoa kocha inahitaji hela ndefu mazee..mtapata tabu sanaaaaaa.
Inaboa sana viongozi hawajui kama Mashabiki hawamtaki kocha au wanapuuzia ?nafikiri Mashabiki wa London ni wapumbavu sana ingekuwa TZ next match hakuna shabiki ambaye angeenda uwanjani uwanja ungekuwa mtupu kabisa hatutakagi ujingaDuuh! Mkuu punguza hasira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hivi jose mourinho walimlipa ngapi alivyofukuzwa manchester united?Mkataba wake, iwapo anafukuzwa leo anatakiwa kulipwa £8m