Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Willock ana kadi halafu unamuacha
Mjinga huyu,na bora tupigwe tu.....Saka na Ozil nani kachemka?Hivi unai ana bifu gan na Ozil
Eti anamtoa Ozil
Willock kabaki[emoji35][emoji35][emoji35][emoji966]
Bora tupigwe tuLkn si ndio tunachotaka wadau. Tufungwe Unai aende. Sasa tunalalamika nn
Unai OUT