Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,650
3-4
Ox mwanentu huyuHuyu Ox katufunga goli la kibabe sana.
Huyo Saka hata simuelewiToa Willock na Saka, wameshachemsha gemu hii.
Mlikuwa na mdomo sana, sasa naona mmeanza kulia lia.Huu ujinga tunaongoza 2,zinarudi zote,kocha wetu anagameplan moja tu




Wewe ndo unashida zako unahitaji tibaMlikuwa na mdomo sana, sasa naona mmeanza kulia lia.
Kocha bwege sana huyu, sub gani anafanya?Hahahaha hayahaya jiandaeni kufungasha virago