EMERY NI TATIZO KUBWA NA SUGU
Katika post zangu huko nyuma niliainisha matatizo ya Emery yanayoicost Arsenal
1.Hana kikosi cha kwanza
2 .Hajui kupanga kikosi
3.Anawapanga wachezaji out of natural position
4.kila mechi haijulikan atakuja na mfumo UPI, Leo atakuja na 4-3-3 kesho 4-3-1-2,keshokutwa 4-2-3-1
5.Ana poor tactical
Mechi ya Leo dhidi ya C.palace Kaja na Tatizo namba 3 na 1
Katikati kaja na Gunduz ,xhaka huku namba 10 akianza ceballos
Kumbuka hawa typically, ni namba 8 au Central midfield
Kwahiyo automatically Akawa ameziua namba 6 na namba 10 maana timu itakosa nguvu kwenye eneo la Ukabaji (DM) na eneo la Namba 10 (Attacking MD)
Tulichoshuhudia Leo ni Namba 10 kukosa ubunifu, na Wale WA katikati Xhaka na Gunduz kukosa balance ,
Combination ya Xhaka & Gunduz haijawahi kuleta impact hata siku 1 ,
Yote haya yanafanyika huku nje kuna Lucas toreira ambaye ni namba 6 halis na Ozil namba 10 halisi
KWA HAPA KOCHA HATUNA ILA TUNA MBABAISHAJI
KWA MWENDO HUU HAWEZ KUFIKA X MASS
Kaka usiongee hivi yaani napata hasira Kali sanaEMERY NI TATIZO KUBWA NA SUGU

Akijibu nitag please mkuuNani kasema Wenger ni kocha mbovu, usiwe kubwa jinga wewe
Sasa kama ubahiri ni tatizo inakuwaje Arsenal,palace na leicester wapo juu yako kwenye table wewe usiye mbahiri.
Mkuu kumuweka mtu kwenye ignore list ni ujinga tu.Mkuu tutumie vizuri option ya Ignore list. Ukiona mtu hana cha maana anachochangia unamuadd tu.
Mimi humu napata comments za akina Aaron, yako na wengine wa Arsenal.
Wapiga kelele wala husumbuki nao. Sababu hata hujui kama wamepost.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ningekuwa mimi CEO hapo Arsenal, huyu baada tu ya mechi ya Watford nilikua namfuta kazi, aende kwao Sevilla huko.Kaka usiongee hivi yaani napata hasira Kali sana
Huyu jamaa ana bahati sana, sijui PSG na Arsenal waliona nini kwake.!! [emoji1745][emoji1745][emoji1745]Upo sahihi mkuu. Kama madhaifu yetu yapo wazi kiasi hiki what's wrong with Emery?
Au anafanya kusudi. Hii ni mechi ya 10 anarudia the same mistakes.
Hapa ni maaskari tu ,sungusungu na wagambo sio mahala sahihi kwao,nenda kwa manyumbu labdaNyie siwapendi shenzi adi nahisi kinyaa
Nasahau nini? Si kila uchwao unapigwa wewe kuna mwaka umepita bila kubamizwa na united?
Kwel Mungu si mzee mkumba leo hii AARON hazungumziii chelsea kushika namb ya 15 au kushuka daraja baada ya mechi ya 10? Afadhar yuko bize akipambana kumfukuzisha kocha utadhan yy anafamilia