Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Leo tunashinda, maturubai kaweke kwa man.u kuleNgoja nianze kuandaa maturubai maana huu msiba wa leo siyo mdogo naona mtu anafia kwake mapema.
UnazinguaaIla mkuu mchepuko uliokuficha na umekuachia leo ni hatari kwa afya kuanzia game ya Sheffield na ya Juzi jamaa anaperform vizuri so kuna mwanga upo. Walioshikishwa ukuta ni Madrid kwa Hazard.
Hawa walalamikaji kitambo. Ozil ni mvivu wa mazoezi toka akiwa Madrid na huyu kocha anaonekana anapenda wachezaji wanaojituma mazoezini kama Lampard. Kama kocha lazima asimamie misimazo yake ukizembea hakuna kuanza sasa hutu tu fanboys tunapiga piga kelele tu utafikiri wemyewe ndio wanashinda na wachezaji.Arsenal mtalalamika kila msimu kwa sababu hamna wachezaji wa kufanya kazi. Mentality ya kitoto. No wonder mashabiki hamuoni wachezaji hawa wakiwaletea makombe. Kocha kaja anataka wachezaji wajitume kwenye mazoezi, alafu tuchezaji twenu tunaanza kulia lia. Sasa kweli hapo mtajenga timu?
Hata mimi naona pia Trio ya Xhaka/Ceballos/Guendouz haijaclick kwenye timu. Hawana muunganiko mzuri kwenye kuanzisha mashambulizi. Lt11 ni namba 6 yetu sahihi.NAITAKIA USHIND ARSENAL
KOCHA BADO NI JIPU , Bado Anawachezesha out of their natural position
XHAKA NA CEBALLOS NA GUNDOUZ.
NAMBA SITA TORREIRA NI YAKE
NAMBA 8 NI CEBALLOS
ALAF 10 NI OZIL
HAKUNA NAMBA 6 YENYE NGUVU HICHO KIKOSI
AMEWEKA HIVO KUWAPOTEZA TU
ILA SIO SAWA, MAANA LEO ALIAMBIWA AKIFUNGWA ATAJADILIWA KUTIMULIWA...
NAMBA 10 na 6 LAZIMA ZIPWAYE
CEBALLOS NI MZURI NAMBA 8
Mapema tuko apa kufanya maandaliz ya machizi ...soon tu marehemu ataletwa apa, uyu marehemu alikuwa mrembo sana..Ngoja nianze kuandaa maturubai maana huu msiba wa leo siyo mdogo naona mtu anafia kwake mapema.
Leo tunashinda, maturubai kaweke kwa man.u kule
Japo kocha ovyo Leo tunashinda mapema tu
Na twenyewe tuna akili za kitotoHawa walalamikaji kitambo. Ozil ni mvivu wa mazoezi toka akiwa Madrid na huyu kocha anaonekana anapenda wachezaji wanaojituma mazoezini kama Lampard. Kama kocha lazima asimamie misimazo yake ukizembea hakuna kuanza sasa hutu tu fanboys tunapiga piga kelele tu utafikiri wemyewe ndio wanashinda na wachezaji.
Arsenal mbovu wasijitetee kocha hawa
Unazinguaa
Piga mbuzi hao...
Atatimuliwa tu muda ukifikaLakini si uombe mfungwe ili kocha afukuzwe tu
Sasa subiri sub zake za kipindi cha pili.Tumezidiwa ball possession tumezidiwa pass zilizopigwa pass accuracy tumezidiwa na hapo ni Emirates ku****ko aisee balaa hili