Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Rodgers alikaa liverpool vizuri tu....Maandishi yangu yote hayakumaanisha kwamba Emery ni mkali ila yamemaanisha kumtema Emery kwa ajili ya Rodgers ni kujipa presha nyingine.
Mashabiki wa Leicester they don't expect much. Tofauti na Arsenal, akija atakutana na presha ya matarajio ya mashabiki, itamharibu badala ya kummotivate.
Ingawa kivingine kwa msimu huu mpaka leo, Rodgers ni better kuliko Emery kwenye ligi. We had a chance kujisiliba kwenye nafasi ya tatu Emery blew it, Leicester wamekua presented with a same chance wameichukua kibabe.
True makombe siyo kipimo cha ubora. Ila PSG ya Emery ndiyo ile ilibakwa kwa ushirikiano na marefa huko UEFA.
Emery aende ila Rodgers asije pia.
Sijui watu wanaomtetea Emery wanapataga wazo hilo wakiwa wapi yani?????daaaahhhhKuna watu nimeamini hawamjui vzr emery
Hebu mfatilien kuanzia Valencia,Moscow ,sevilla , PSG ndio mtajua ni kocha wa aina gan
Hata alikopita wote wanasema huyo jamaa ni kilaza sana
Wewe hutaki makombe?Hahaha Madrid walifunzwa kukaba enzi zake. Inter ndiyo wakachukua kombe na ukabaji juu, haitakua tofauti akija Arsenal. Man U yenyewe ilikaba mpaka basi.
KabisaaBinafsi nikiambiwa nichague kati ya Unai Emery na Brendan Rodgers nitakwenda na Brendan Rodgers kwa asilimia [emoji817]
nimesoma sehem aise, Ian wright kamwaga nyongo live aise kasema bora emery asepe tuOZIL AMEAHIDI KUBAKI ARSENAL HADI 2021 MAANA EMERY HAWEZI KUFIKA HUKO KABLA HAJAFUKUZWA
Taarifa kutoka Jarida la Bleacher linasema Pamoja na Emery kutompa nafasi Ozil hataomba kuondoka Arsenal au kufosi aondoke , Japo Klabu za Marekani zinamuhitaji.
BADO IMANI YANGU INANIAMBIA EMERY ATAONDOKA YEYE NA KUMUACHA OZIL , KWA MWENENDO WA TIMU EMERY HAFIKI POPOTE , HIVO NILISHASEMA KATIKA POST ZANGU HUKO NYUMA ......EMERY ATAMUACHA OZIL KAMA ALIVYOMKUTA
For more
Mesut Ozil 'willing to stay until Arsenal sack Emery'
Mesut Ozil has been frozen out of the Arsenal team, but is reportedly unwilling to hand in a transfer request.
Bleacher Report state that the German star’s advisors are attempting to steer him towards an MLS move in January, with LA Galaxy a possible destination should Zlatan Ibrahimovic leave the club in the New Year.
But Ozil enjoys playing for Arsenal and is said to be reluctant to submit a transfer request.
The midfielder is said to be willing to stay at Arsenal until the club sack Unai Emery, with pressure building on the manager and Ozil’s contract running until 2021.
huyu naskia amenza mazungumzo na real madrid, kureplace zizuu.Arsenal is a good team, currently with super players, I think they've just been unlucky, but you cannot underrate them. They have a coach, you cannot ask me if I can take the job that is being done by someone else,I'm special. But I cannot say no, I love football."
- Jose Mourinho
Do you agree with Mourinho
Goli 2 unakuja kutupigia kelele,ngoja tuone kama atamaliza hata na goli 5Kuna goli amefunga Pulisic litafuteni YouTube. Naamini litawaondolea stress
Goli 2 unakuja kutupigia kelele,ngoja tuone kama atamaliza hata na goli 5
Aendelee hivo hivo asije kuwa kama James wa unyumbuni
Hivo hivo , hata man u walitupigia kelele na JamesUnasemaje mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BURNLEY WANAMLAUMU PEPE KUTOFUNGA NAFASI ZA WAZI