Wewe nae ndio walewale,litimu lako ni kundi la masela waliopewa jezi wavae....leo hii unatucheka sisi!!!?????
Ngoja ni iweke hii.Wewe mambo ya United unayajua mkuu? maana huwa unashinda sana kule na kutoa updates na ushauri na kutuletea updates za Allegri kuja United
Ninachoona huwa ni visingizio tu vimetawala
Ligi itaisha nitakuwa juu yenu
Unitumie ya vocha sasaDah angalau bhana kesho asubuh nikachukue ki elf sabini changu
Uliona nimemzungumza maswala ya united ? Update ni kutoka source za mpiraWewe mambo ya United unayajua mkuu? maana huwa unashinda sana kule na kutoa updates na ushauri na kutuletea updates za Allegri kuja United
Ninachoona huwa ni visingizio tu vimetawala
Ligi itaisha nitakuwa juu yenu
Itunze hii , japo KOCHA wetu mbovu ,Ngoja ni iweke hii.
Kwan pepe mchezaji mbaya?Maisha yanaenda kasi sana,Leo Pepe Kaibeba team
Hela aliyonunuliwa tuanze kuhesabu Leo,maana aliniita mashakaNicolas Pepe vs Vitoria:
15 minutes played (!)
2 free-kick goals
2 duels won
1 key pass
1 foul drawn
1 dribble completed
1 breakout cameo off the bench
Take a bow
Uliona nimemzungumza maswala ya united ? Update ni kutoka source za mpira
Wewe kumaliza JUU ya arsenal huwez hata kama.kocha huyu huyu unai
Kama natoa maoni ni yale ninayokuwa nayajua ,siwez kutoa maon kwa kitu nisichokijua mkuuMzee unataka niende kuku quote kule uzi unaotoa maoni kuhusu United? Unataka kuniambia wewe huwa una quote tu na hujawaji kuweka chembe ya maoni yako kwenye masuala ya United?
Isionekane kwamba wewe una haki ya kutoa maoni kuhusu timu nyingine lakini wengine hawana haki ya kutoa maoni kuhusu timu yako
Kuhusu nani anamaliza juu ya nani tujipe muda, muda ndio utaongea
Kama natoa maoni ni yale ninayokuwa nayajua ,siwez kutoa maon kwa kitu nisichokijua mkuu
Mm nimekushangaa kuongea kitu ambacho hukifahamu na ni Mara ya pili naona unatoa boko kama hilo
Sijajua unaongea kutukejeri au nikutokujua ,
Ndio maana nimekushauri kwanini usiulize ?
Maana matatizo ya Arsenal sio kuanza hao tu ,
Maana hata kuanza bado hawaanzishwi wote au wataanza ila out of position
Huwa nakuelewa sana unapochambua ,ila sijajua kwanini Unatoa boko kwenye swala hilo
Swala la Man kumaliza juu yetu hata nyingi mnajua haliwezekani ,
Tatizo lenu inajulikana hamna forward ,
Mechi mbili za Europa. Dakika 180. Manchester United wamepiga shuti moja tu lililolenga goli. Yes. 'Only one shoot on target'.
Epl game 10 point 10
ohoo Jesus christ
Tuweke Akiba ya maneno tusubiri mbelen