Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kwa kweli huyu Hafiki X mass[emoji23][emoji23][emoji23] we vuta subira kwenye EPL zipo za kutosha crystal palace, liverpool (carabao), wolves, leicester city, southmpton, norwich....
Hapana 2-1Mkuu mmekula 5 kweli hahahahahahahahah
Huyu kocha kinachomkosti ni ugomvi wake na ozil.
Kama analeta mabifu yake ya kingese atupishe tu
Hapo ndipo anaponiachaga hoi huyu falasUyu mshenz c aliona willock ana stahl kuanza mbona amemtoa first a half tu, mech iliyo pta pia hvohvo c a muache tu amelize ye c jeur bhana
Mkuu na wewe unamkataaHuyu kocha kinachomkosti ni ugomvi wake na ozil.
Kama analeta mabifu yake ya kingese atupishe tu
Pepe anasaliti kambi sasa
Tunamsubiri Anfield tumtandike tumuongezee pressure ya kumtimua.Jaman nawatakia usiku mwema
X mass hataiona ,
Naiman Ataanza kuondoka yeye kabla ya Ozil
Wewe nae ndio walewale,litimu lako ni kundi la masela waliopewa jezi wavae....leo hii unatucheka sisi!!!?????