Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.
Dunia inamtambua ubora wake ,
.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,
Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,
timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?
Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?
Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.
Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa,
Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,
Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,
mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .
Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying
Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .
hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .
Nicolas Pepe v Sheffield United (A):
72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles
View attachment 1241599
Mkuu hii ni kwel au wameedit?
Anakosaje goli apo?
Ok. Tutaanza kwenda sambamba sasa
Breaking News
: Sources have informed @TheArsenalTime1 that if #Emery loses his next game against @CPFC in a similar fashion to the previous defeat to @SheffieldUnited his job will be in serious jeopardy. The Board aren’t happy and will not hesitate to push the button. View attachment 1242150
Hao wachezaji wasio na miguu sijui huwa mnawaokoteza wapi ? . # timu ya wafu arsenal .Dogo acha dharau basi
Huo ni mwanzo tu . Hiyo nafasi mliopo sasa hivi sio yenu . Mtanyolewa bila maji msimu huu . We ngoja game zinazofuata mtaona moto .Nyie timu ya wafu na mnanitesa United mnashuka daraja mtake msitake . Top four sahauniKaka mkubwa,unajua mtu unavyokuja ndio unavyopokewa......
Haiwezekani umekuja mchafu sisi tukukumbatie,tutakuonesha panapostahili ukae
In gunners we trust
UNAI OUT
Hata Jina lenyewe la kifuala . Wha the *** is pepe ? .Kipepe au ?Nenda kaangalie why hakufunga
Na mpira ulikuwa kwenye kasi gani
All in all
Pepe ndiye mchezaji aliyecheza vzr sana hiyo game
Kocha bado ameishindwa timu , timu haitengenezi nafas za kutosha
Nashangaa mnaotumia hiyo nafas kumlaumu pepe , je akipata nafas nyingine?
Nicolas Pepe v Sheffield United (A):
72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles
A silver lining on a dark cloud of a perfomance.View attachment 1241592
Ona mapopoma mnayosajili . Halafu bado mnawaza kutwaa epl na uefa . Never under this Godamn planet , even God knows thatLS |
Arsenal in negotations with Real Madrid to sign Dani Ceballos permanently. The Spanish Club want €40m, #AFC's first offer is €30m.
Deal with your tim. Liv our timOna mapopoma mnayosajili . Halafu bado mnawaza kutwaa epl na uefa . Never under this Godamn planet , even God knows that
Naomba usini quote tenaOna mapopoma mnayosajili . Halafu bado mnawaza kutwaa epl na uefa . Never under this Godamn planet , even God knows that
Wakubwa leo tulikuwa tunacheza UEFA. Wewe tulia usubiri zamu yako keshoTupo bize na mikakati ya ucl kuna boya tumeliweka lishike nafasi