Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mzee kama hata haujui penati inapigiwa wapi nenda kacheze tokomile.Bro mimi sikuangalia this game! Hii ilikuwa ni Penalty au?
Kama kikosi kitakua wale wale nyuma wakina Kolasinac na Sokratis katikati Xhaka na Guendouz na Mbele Saka na Willock, tutavuna point moja tu.Our next three fixtures
Crystal palace H
Wolves H
Leicester city A
How many points do you expect realistically?
Mkuu mmeamua kurudisha matusi?
Nenda kaangalie why hakufungaHapa jamaa ilikuaje hakufunga?
Kuna watu wanavuta bangi sijui ,wanakwambia huyu kocha ni sahihiKaka mkubwa,unajua mtu unavyokuja ndio unavyopokewa......
Haiwezekani umekuja mchafu sisi tukukumbatie,tutakuonesha panapostahili ukae
In gunners we trust
UNAI OUT
Mechi ya kesho Europa league ndiyo nitaanza,then mechi ya Cristal palace ya league itakuwa ya piliUmeanza kufatilia mpira lini
Kaka mkubwa,unajua mtu unavyokuja ndio unavyopokewa......
Haiwezekani umekuja mchafu sisi tukukumbatie,tutakuonesha panapostahili ukae
In gunners we trust
UNAI OUT
Mkuu hii ni kwel au wameedit?Kukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.
Dunia inamtambua ubora wake ,
.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,
Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,
timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?
Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?
Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.
Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa,
Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,
Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,
mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .
Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying
Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .
hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .
Nicolas Pepe v Sheffield United (A):
72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles
View attachment 1241599
Watu hawaangaliagi player ratings!.. Mimi kiukweli bado nina matarajio makubwa toka kwa pepe. Tatizo ni kocha hajui kutengeneza mfumo unaoendana na aina ya uchezaji wa pepe... Huyu pepe msimu ujao atafanya mambo makubwa sana!.. Mimi kwa muda aliokaa nasi naridhika na kiwango anachokionyesha. Kwanza kiukweli hatushindi mechi sio kwa sababu ya Pepe bali ni kocha kupanga timu hovyo hasa viungo wa kati na bekiKukosa anakosa kila MTU huyu kwenye picha ni Eden Hazard jana akikosa goli.
Dunia inamtambua ubora wake ,
.
Kuna watu wanalalamika Pepe kukosa ile chance,
Kwanza mpira ulikuwa na kasi pili, pepe anatumia Left foot ,
timu inatengeneza chance ngapi had mtu ulalamike na pepe kukosa hilo goli?
Ndio maana makocha kama Wenger ,pep , klopp , wanafundisha mpira wakutengeneza chance nyingi, maana kuna kukosa na kupata , sasa pepe kapata chance ngapi had mtu ulie na hiyo 1 n?
Na wengi wasichojua aliyecheza vzr kwa uwezo binafs hiyo mechi ni pepe, akitoka na Rating ya 7.
Utakuta mshabiki wa Arsenal Pepe Tumepgwa,
Ndio ubaya wa kuwa na matarajio makubwa kuliko uhalisia,
Mbappe under Unai Emery alikuwa wakawaida huku akimaliza na goli 13 tu,
mbappe Under Thomas Tuchel panachimbika huko jana kaweka 3 peke yake .
Mpira sio rede kila chance goli , ndio maana watu wanamuhitaj ozil ili chance created ziwe nying
Cha ajabu sasa toka ozil aache kucheza bado wachezaj wote ambao Unai anatuaminisha ni bora na hardworker kuliko Ozil hawajatengeneza nafasi kumzidi .
hapo ndipo utajua kwanini Huwa nasema kila siku HATUNA KOCHA .
Nicolas Pepe v Sheffield United (A):
72 touches
31 accurate passes
1 key pass
12 crosses
3 shots
5 successful dribbles
16 ground duels won
5 tackles
View attachment 1241599
No editingMkuu hii ni kwel au wameedit?
Anakosaje goli apo?
Hakuna kitu kama hichoMadrid wanamtaka Auba
Ceballos + €30m = Auba
Pepe alicheza vizur sana game hiyo alikuwa anajituma anazunguka uwanja wote nilfurah sana kuona ameanza kurudisha kujiamin tutarajie kumuona pepe mwngine kila mechi anazd kuimarikaWatu hawaangaliagi player ratings!.. Mimi kiukweli bado nina matarajio makubwa toka kwa pepe. Tatizo ni kocha hajui kutengeneza mfumo unaoendana na aina ya uchezaji wa pepe... Huyu pepe msimu ujao atafanya mambo makubwa sana!.. Mimi kwa muda aliokaa nasi naridhika na kiwango anachokionyesha. Kwanza kiukweli hatushindi mechi sio kwa sababu ya Pepe bali ni kocha kupanga timu hovyo hasa viungo wa kati na beki