Nilichojifunza kwa UNAI EMERY
Hana plan B
Hana uwezo wa ku usma mchezo huku ukiendelea.
Unai hana idea yoyote ya kuibadilisha Arsenal kwa ufupi ni mbahatishaji tu.
Mechi zote anazocheza hana Game plan.
Arsenal ina Good player lakini wana Useless Manager.
Duh kum******* duh aisee aisee aisee bado tuna safari away Etihad Stamford Tottenham West Ham Leicester city Wolves Everton sioni kama tutafanya chochote sioni naona giza
hilo ni garasha lililotukuka, ndio madhara hayo ya kununua wachezaji wa mafungu mafungu, hao ni wachezaji wenye hadhi ya kucheza bonanza.
By the way malizieni kulipa kiasi kilochobaki πππ