k.shuku kibosho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 278
- 269
emery sio kocha wakufundisha team level ya arsenal, anatuaada tu.Kwani kuna nini humu,
Leo zigo la lawama sijui atapewa Unai au jezi za njano
Kale ka droo ulikokapata jana naona kamekupa jeuri sasa una tembea kila jukwaa tu.
Siku zote aliyepata draw ni yule anayechomoa goli. Tena mwishoni mwishoni kabisa. |
acha tu kakaNani aliona chochote kilichofanywa na hayo mavi willock
Siku zote aliyepata draw ni yule anayechomoa goli. Tena mwishoni mwishoni kabisa.
na anayezijua hizo pattern ni ozil/ceballosWanachokifanya Sheffield ni kuweka kitu kinaitwa NO PATTERN
Anawaaminisha Willock na Saka wanatosha kuvaa viatu vya Ozilna anayezijua hizo pattern ni ozil/ceballos
sasa huyu emery anataka kutuaminisha willock ndo anazijua hizo pattern, ni utairaa kwa kwelii!!
Hahahahahahahahah Ashukuriwe Refa,Tutakutana uwanja wa Damu Anfield.
Yani wewe tena omba Mungu sana Salah na Mane wasiumie. Mtalimia meno. |
Mkuu tuna kocha mbovu kuliko makocha wote pale EPL.Iv c ndonyie mlioongoza kwa sajili bora namkatamba sana
Sasa imekuaje tena wanazengo