Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Laca asianze. Badala yake Ozil akae namba ya Saka. Means upande wa kushoto atakuepo Tierney na Ozil ambao wote hawahofii kuingia ndani ya box.

Kwa vision mbovu ya jamaa utakuta Kolasinac yumo. Xhaka yumo. Sokratis yumo. Guendouz yumo.
 
Upo sahihi , ni muda muafaka sasa holding ,tierny waanze kucheza

Laca ,belle , wasubiri mech ya alhamis

Shefflied kama huna viungo wabunifu ni wagumu sana ,

Uwepo wa ozil , Mateo ,tierny

Bila kumsahau pepe katika kupunguza watu unahitajika Leo
 
Nmeona mahali kuna possibility kubwa ya lacca kuanza leo
Kapona vzr tu, ila sioni akicheza ,bado saka Leo ataanza , kwa emery laca tutamuona labda alhamis maana ratiba ni ngumu, tunacheza jtatu , tunapumzika siku 2 tunaingia mzigoni tena
 
Laca asianze. Badala yake Ozil akae namba ya Saka. Means upande wa kushoto atakuepo Tierney na Ozil ambao wote hawahofii kuingia ndani ya box.

Kwa vision mbovu ya jamaa utakuta Kolasinac yumo. Xhaka yumo. Sokratis yumo. Guendouz yumo.
😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Bila kumsahau Matteo Guendouzi
 
Laca asianze. Badala yake Ozil akae namba ya Saka. Means upande wa kushoto atakuepo Tierney na Ozil ambao wote hawahofii kuingia ndani ya box.

Kwa vision mbovu ya jamaa utakuta Kolasinac yumo. Xhaka yumo. Sokratis yumo. Guendouz yumo.
 
Arsenal nimeimiss sana kuiona uwanjani duh!...Wiki mbili zimepita.

Ushindi muhimu leo, ila tukifungwa nalala na viatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…