Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hahahhaa mm siku hizi naona bora iwe ndefu, sio kwa hii rugby ya emeryAisee nimesha i-miss league tayari, hii international break huwa ni kero tu kwangu.![]()
Wenger ball
NB:Kama una nyepesi usiangalie hii clip. ,ni Wenger ball, maana ukiona na ukafananisha na Hii rugby ya Muhindi unaweza kuacha kufatilia mech za arsenal kabisa
Mkuu acha tu, Yaani wengine hatukuipendea Arsenal mataji , tuliipenda Arsenal sababu ya Sex footballKuna game moja tulimpiga Man utd mbili bila magoli yote alifunga Nasri,lile goli la pili zilipigwa pasi 21.
Majeruhi ya mara kwa mara ndio yalisababisha tusimfaidi huyu mwamba ila Cazorla anajua sana.Cazorla tungembakisha Angetusaidia sana kwenye ubunifu. Kiwango chake kizuri sana, mpaka timu ya Taifa anacheza.
Daah akili fupi zikikutana ni shida sana.Ngoja waje wale wachimba chumvi na Abraham wao .....hahahaaaa
Kama unajua...unajua tu,
Congrt P.E.A
Watakuja na vistats vyao hapaaa
Embu kwanza tukawachokoze kule
Sawa mr ila mkuu usipende kukimbilia kwenye personal attack maan humu jf naamin hatujuani vzr sasa hii isiwe sababu ya kushushiana heshima nadhan tutaniane na kukejeliana pasi na kuvuka mipakaDaah akili fupi zikikutana ni shida sana.
Pipa na mfuniko
Am hoping it was not that personal. Don't exaggerate this.Sawa mr ila mkuu usipende kukimbilia kwenye personal attack maan humu jf naamin hatujuani vzr sasa hii isiwe sababu ya kushushiana heshima nadhan tutaniane na kukejeliana pasi na kuvuka mipaka
hahahahahah sasa wewe unataka kufananisha Tammy na P.E.A?????????????????/Am hoping it was not that personal. Don't exaggerate this.
Unaona sasa akili zako zilivyo?hahahahahah sasa wewe unataka kufananisha Tammy na P.E.A?????????????????/
kila siku huwaga nawaelezeaga raia huku mtaani kuhusu hili na wengi wamekuwa wagumu kunielewa kuhusu hili......leo umeongea kitu ambacho naamini ndio kikubwa zaidi kwetu sisi mashabiki na wapenzi wa hii timu.....Mkuu acha tu, Yaani wengine hatukuipendea Arsenal mataji , tuliipenda Arsenal sababu ya Sex football
Leo Emery anapotuletea mpira pori , hatumuelewi kabisa