Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
So sad kuwa na kocha mbovu kama huyu, hawa wanaosema Unai ni mzuri wanaona kitu gani sisi wengine tusichokiona?hawa viumbe hawataki kumskia kabisa UNAI emery
Thiago silva beki bora ninaye mkubali duniani hata akija Arsenal na miaka 35 atacheza Full package sema ni very underrated duniani.
Javier pastore
Kipaji kilichopotezwa na Unai Emery
Marco verratti muitaliano ambaye hataki kumsikia Unai Emery katika maisha yake ya soka , eti Nkunku ndio sub yake , Ni sawa kinachotokea Leo Willock anaanza badala ya Ozil
Blaise matuidi ,
Lo celso kijana akamuondoa Matuid
Mechi na Madrid DM anacheza Le Celso , marco verratti mbele na Rabiot huku di maria anasota kwenye mbao na Tiago Silva na Maxwell, PSG anakufa 3-1 ndani ya Parc de prince
Unai emery anamwondoa Beki wa kibrazili Fundi kutoka barca na kumpanga Yuri berchiche huku kurzawa akila mbao .
Ben Arfa kina nkunku lo celso wanapata nafasi yeye hata kufikiriwa hakuna
Linalomkuta leo Lucas Torreira ndilo lilotokea kwa verratti .
Linalomkuta xhaka kucheza DM ndlo lilotokea PSG Lo celso kucheza DM kama DLP
Ndo maana Lo celso alivyoenda kucheza Real betis kawaka sana maana alicheza namba yake halisi kiungo mshambuliaji
Hivyo bas unai emery Ni mzee wa nongwa Tu
Apendi mtu kuwa popular kuliko yeye
Kocha mwenye nongwa na kiburi
Lucas Moura: I Had the 'Worst 7 Months of My Life' Under Unai Emery at PSG
Tottenham Hotspur winger Lucas Moura has described his time under Arsenal boss Unai Emery at Paris Saint-Germain as the worst period of his life.
Moura Lucas AKIWA KATOKA KUFUNGA GOLI 19 NA ASSIST 10 ,
Unai Emery Emery wanamwambia
"No space for Lucas Moura at PSG"
Acha ufalas wewe na hivyo vichezaji vyako vya kuokotaokota unataka kulinganisha na wachezaji wa timu kubwa london,nyambaf chelsea hawana tofauti na aston villa ni kitimu flan hivi cha middle tableAlafu usiwe mpumbavu. Huyo Tierney angekuwa wa maana si mngemchezesha angalau mechi 1 ya EPL? Inakuwaje kila mechi EPL anacheza Kolasinac badala yake? Tierney hajawahi kufanya chochote EPL and is nothing ukimlinganisha na Alonso. Tierney amecheza kamechi kamoja EUROPA! Hiki ni kichekesho cha siku
Wewe ni mpumbavu wa asili kabisa,maana sisi ndio tunakwambia KT,ROB,LUIZ,HECTOR ndio mabeki wa kikosi cha kwanza sasa wewe unajipitisha na khanga moko unakataa hilo kwahiyo wewe unaijua sana arsenal kuliko sisi?????Usiwe mjinga Tierney na Bellerin hawajacheza msimu huu mzima. Na isitoshe Bellerin ni beki wa upande wa kulia. EPL Tierney hana stats yoyote labda Kolasinac ndo amecheza mechi zote EPL. Inashangaza hata huelewi mambo ya msingi kuhusu timu yako
Sasa wewe hujui kama tierney,hector,dino,ni majeruhi sasa ulitaka wacheze hivyo hivyoTierney amecheza mechi yoyote EPL msimu huu? Why Kolasinac ndo anaanza kila mechi?
VAVAVUMHenry on Wenger:
"The game misses you, the Premier League misses you. Hopefully we can see you around again one more time on the bench. What you've done for me, done for #Arsenal Football Club & the Premier League is second to none. Love you as always"
UmemkomeshaWewe jamaa unatupigia kelele humu ,View attachment 1227027View attachment 1227028
Sija haja ya kubishana na wewe. Kwanza huna malezi ya kwenye familia na hata kichwa mwako ni bure kabisa. Mwisho wa siku watu watashindwa kutofautisha kati yangu na wewe.Acha ufalas wewe na hivyo vichezaji vyako vya kuokotaokota unataka kulinganisha na wachezaji wa timu kubwa london,nyambaf chelsea hawana tofauti na aston villa ni kitimu flan hivi cha middle table
Hoja ni kwamba msimu huu Kolasinac ndiye amecheza as a LB, period. Sasa kama unaanza kukana wachezaji wako wanaocheza first team sina jinsi ya kukusaidiaWewe ni mpumbavu wa asili kabisa,maana sisi ndio tunakwambia KT,ROB,LUIZ,HECTOR ndio mabeki wa kikosi cha kwanza sasa wewe unajipitisha na khanga moko unakataa hilo kwahiyo wewe unaijua sana arsenal kuliko sisi?????
Kwahiyo bodi itoe mamilioni ya shilingi kwa ajili ya mtu wa benchi....
Sasa wewe hujui kama tierney,hector,dino,ni majeruhi sasa ulitaka wacheze hivyo hivyo
Mkuu acha matusi na lugha mbayaSija haja ya kubishana na wewe. Kwanza huna malezi ya kwenye familia na hata kichwa mwako ni bure kabisa. Mwisho wa siku watu watashindwa kutofautisha kati yangu na wewe.