Aisee! Kumbe mpira ndio unapimwa hivi,EPL 2019/2020
Chelsea 2 - 0 Brighton
Brighton 2 - 0 Spurs
Norwich 2 - 3 Chelsea
Norwich 3 - 2 Man city
Chelsea 5 - 2 wolves
Man City 0 - 2 ,wolves
Chelsea 4 - 1 Southampton
Liverpool 2-1 Southampton
ACHA WIVU ZUMBUKUKU WEWEE
Mkuu kuna watu ni wakuwapuuzaAisee! Kumbe mpira ndio unapimwa hivi,
kuna watu kujenga nao hoja nikupoteza muda na nguvu.
Kwa hiyo Man city utamfunga ngapi?? maana kafungwa na timu ulizozifunga wewe.
Mkuu umeongea ukweli, ndio maana Mimi nawakubali sana mashabik wa Liverpool , wana fact ,na hawaikimbii timu YAO, sio hawa walioanza kuijua Chelsea baada ya drogba ,Ndio maana tunawapaga majibu yanayowastahili kutokana na ufinyu wa kuchanganua mambo.....jibu halilingani na kilichoongelewa
Mwenzio anadai tuna miaka 15 hatujabeba epl mm sikumbishia ila nimempa faida ambayo hakuwa akiijua.....kuwa mulikaa miaka 50, yeeeessss ni 50years bila kubeba hilo kombe iweje ashangae miaka 15,
Ndio maana huwaga tunasema kuwa nyie washangiliaji wa Chelsea wengi wenu ni vitoto vidogo vya 2000's ndio munasumbua humu,
Washabiki ambao kidogo nawaamini ni wa Liverpool,Man Utd na Arsenal maana wengi wao wameshuhudia timu zikipita katika nyakati zote lakini sio nyinyi WASAKA USHINDI mkiukosa mnakimbiana maana tunaona kushinda vimechi viwili mumejazana kule katka uzi wenu na nyuzi nyngnezo,
Sisi tupotupo sanaaaaaaa mvua na jua
Mbona haujaweka hiiEPL 2019/2020
Chelsea 2 - 0 Brighton
Brighton 2 - 0 Spurs
Norwich 2 - 3 Chelsea
Norwich 3 - 2 Man city
Chelsea 5 - 2 wolves
Man City 0 - 2 ,wolves
Chelsea 4 - 1 Southampton
Liverpool 2-1 Southampton
ACHA WIVU ZUMBUKUKU WEWEE
Amini kwamba huyu badobado sana tumvumilie.....ndio anajiingiza katika family ya wapenda soka lazma atoe maboko kama hayaAisee! Kumbe mpira ndio unapimwa hivi,
kuna watu kujenga nao hoja nikupoteza muda na nguvu.
Kwa hiyo Man city utamfunga ngapi?? maana kafungwa na timu ulizozifunga wewe.
Mkuu umeongea ukweli, ndio maana Mimi nawakubali sana mashabik wa Liverpool , wana fact ,na hawaikimbii timu YAO, sio hawa walioanza kuijua Chelsea baada ya drogba ,
Tuna kocha wa ajabu sana haijawahi tokea....sijawahi mkubali toka akiwa PSG maana alipewa kila aina ya mchezaji mkali duniani aliyemtaka na bado timu ikavurundaDani Ceballos has created 6 chances in his last 5 games.
Mesut Özil created 6 in 71 minutes.
I’m taking an efficient playmaker over a hardworking “playmaker”.
Sasa hiv wachezaji ndio wanapambanaTuna kocha wa ajabu sana haijawahi tokea....sijawahi mkubali toka akiwa PSG maana alipewa kila aina ya mchezaji mkali duniani aliyemtaka na bado timu ikavurunda
Hii game niliiangalia kijana yupo very promising. Huwezi kuamini kama ana miaka 18."William Saliba played a blinder as Saint Etienne beat Lyon by 1-0 last night. The 18-year-old centre-back, who signed for Arsenal in a £27 million deal during the summer, was charged with the task of keeping Dembele quiet - a job he performed excellently"
Well analysed broDani Ceballos has created 6 chances in his last 5 games.
Mesut Özil created 6 in 71 minutes.
I’m taking an efficient playmaker over a hardworking “playmaker”.
Huyu mla pilipili hafai hata kuifundisha Nondo fc ya mtaani kwetu....Huyu jamaa atatuangusha tuu°
Huko PSG aligomewa mifumo yake ya kizinguaji na wachezaji
Alianza bifu na Thiago akawa anamla benchi akawa anamchezesha kimpembe
Akafata kwa verratti akafata kwa Di Maria akafata kwa matuidi ndio akamwondoa matuidi akajiunga na juve akamwondoa maxwell akawa anamla benchi kurzawa baada ya kumsajili Yuri berchiche
HIVO KWA WASIOMJUA UNAI NI MTU WA MABIFU View attachment 1226197
Nilishasema siku nyingi humu huyu Unai Emery anataka wachezaji wanaomnyenyekea, wanaokubali kila atakachosema hata kama hakina mantiki. Ukiwa nae kinyume kimtazamo anakuwekea bifu na kukupiga benchi. Ni kocha anayetengeneza makundi ndani ya timu.Huyu jamaa atatuangusha tuu°
Huko PSG aligomewa mifumo yake ya kizinguaji na wachezaji
Alianza bifu na Thiago akawa anamla benchi akawa anamchezesha kimpembe
Akafata kwa verratti akafata kwa Di Maria akafata kwa matuidi ndio akamwondoa matuidi akajiunga na juve akamwondoa maxwell akawa anamla benchi kurzawa baada ya kumsajili Yuri berchiche
HIVO KWA WASIOMJUA UNAI NI MTU WA MABIFU View attachment 1226197