Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Job Done.

Arsenal up third.

Matokeo ya mechi kama hizi mechi kwa kiingereza zaitwa "grinding out results"

COYGs!!
 
Hahaha angalia mtu kafa nne kwake ..za kwako nne zinakujaaa

Kila la kheri Chelsea
 
Arsenal ikishinda leo nafikiri msimamo wa ligi top 4 itakuwa ni kama ifuatavyo:

Liverpool
Manchester City
Arsenal
Leicester.

Ikifika Boxing day tupo top 4 basi mwakani CL iko kwenye sahani.
 
Ingekuwa inawezekana tungefanya usajili wa kocha wa kum replace Unai Emery , tumekosa kocha mwenye vision na mission. Ni wakati wa kupata kocha atakaye kuja na identify ya pasi, na kushambulia. Hadi sasa ule mpira uliotutambulisha Duniani enzi za Arsene Wenger hatunao tena, ngumu kujua tunacheza mpira gani. All in all, tunashukuru kwa point hizi 3 ambazo zinatusogeza top 4
 
Hujanishawishi bado mkuu, kwa miaka mitatu ya mwisho ya wenga mfululizo tulikuwa tumechokaaaaa.

Tukawa tunamsifu Mourinho kwamba he is a winner no matter what, winning in a smart way or winning ugly, at the end of the day we wanted points. Sasa hivi tumebadilika sasa. Eeeee wanaadamu nyie mbona hakuna la kuwaridhisha??

Ulisema, tunataka kurudi UEFA na hilo ndio lengo la timu, Leo imekuwaje tena?? Cant you see we are in a right track as a team???
 
Mkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?
 
Hakuna kocha hapo

Tuna kocha wa ovyo sana
 
Mkuu huoni tunavyo struggle kushinda? Hata kwa timu za kule chini, unadhani tunavyocheza Kuna siku tutashinda epl magoli 4+ kama wenzetu wanavyofanya?
Mkuu, replacing Wenger was never gonna be easy kabisa. Kuna mambo mengi mno, tena sana ambayo hatuyajui nyuma ya pazia. Emery anajua na management inajua kabisa kwamba realistic target yetu ni top 4 mwaka huu na amini usiamini Emery hawezi kuhukumiwa tofauti na hivyo. Labda arose nafasi ya nne, ila akipata nafasi ya nne then hakuna sababu ya kumfukuza na hatofukuzwa na huo ndio ukweli mchungu na kila mmoja wetu itabidi aukubali.

Achaneni na wapiga domo kina petit, kewon, sijui nani sijui nani, kocha alipoajiriwa aliwekewe goals, objectives, targets and stuff like that na atahukumiwa tu kupitia mambo hayo na sio kelele kelele.

Let's back the coach timu yetu iende mbele mzee. Mnamkumbuka Sarri?? Alipokuwa Napoli kila mtu alisema Chelsea wamepata kocha, 10 games under him wanaanza kumlalamikia for his sarri ball sarri ball.

Tulieni wazeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…