Arsenal (The Gunners) | Special Thread

@Aubameyang7 is up for the @PremierLeague Player of the Month award!

Auba in September...

4 games
️ 5 goals

Want to help Auba to win the prize? You know what to do...


 
Naona hili umelifahamu baada ya flop Pepe kuwa nanga mkuu
Acha hizo mkuu,mpira haupo hivyo ingekuwa kila nafasi watu wanaeka kambani nafikiri top scorer angekuwa na goli 100,na mpira wa miguu ungekuwa kama basketball
 
mwanangu mwenyewe huyooo
sitahisahau combination yake na carzola at the mid nyuma yao yupo qokulini tulishinda mechi 7 mfululizo
Ile combination yake na rvp na song kwangu ndo ilikua the best walikua wana onana sana zile pasi kama atak na zile long ball za song daah so sad atuku win kitu
 
Dah, tuache unafiki jamani, watoto wale wa Arsenal Jana, walitukumbusha enzi za babu, sikiona aliyecheza vibaya,... Huyo Willock ukiangalia umri na mambo anayo yafanya ni bonge la Hadhina, Martineli, Nelson, Tierney, na wote wako moto sana,..Martinez ni Mali kinyamaa, hawa wa Amerika wa Kusini, ni vipaji sana,...
 
Sasa makelele ya UE out tusiyasikie muendelee hiv kuipamba muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…