Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yani uwepo wa Lt11 kati pametulia sana.
Tuambie upuuzi wake,Tungeweza kushinda zaidi. Pepe ni upuuzi kwa sasa.
Hahahahaha vipi Tairone,Fraga na Wilker da Silva?Huyo mbrazil ameaga kwao ,
Namtabilia makubwa sana, akianza kupata nafas EPL , soon media zitamuimba
Sijawahi kuwa na shaka na mbrazili, sio wale waingereza kina Nelson, Niles ubishoo mwingi
Gabriel Martinelli (18) vs. Standard Liège:
• 2 goals
• 1 assist
• 2/2 dribbles completed
• 37 touches
• 4 key passes
• 7/10 duels won
• 3 tackles
The future is brightView attachment 1223065
Kakosa magoli matatu
Krosi fyongo moja.
Pasi fyongo zaidi ya moja.
Komedi ndani ya box 2.
Kwa haraka hizo ndiyo nazikumbuka.
Nina imani nae
Alienda aiseehhh yan dogo gue anapenda sana ugomvi....hapo ktk picha hajaonekana tuHahaha mbona Tierney alimfuata mshkaji huku kadinda?
Jokes aside, sielewi kwanini Guendouz hakuja hapo mshkaji anapenda ugomvi kishenzi.
Ndio maana nimekuomba takwimu ili tuchambue vzr ,
Maana hapo umeongopa kwa hayo uliyosema ,
Kwa dk alizocheza katoka na Rating 6.5
Bado pass accuracy ilikuwa nzuri
Huon kwamba unatudanganya live?
Yea nimewadanganya.
Samahanini.
Pepe aliscore zile shots na kile kichwa aliscore. Anao anao ndani ya box imesababisha penati moja.
Samahanini.
Sio haraka kihivyo mkuu muda mwingine muhimu kuvumiliana,wewe unafikiri hazard anavyocheza kule Madrid ndio 100m ile?pulisic pale Chelsea ni 60m ile? Maana hawa ukiwaangalia kwa makini hata martinelli au saka wapo juu zaidi yao kitakwimu kwa sasa ,lakini je kiujumla wao unaweza kuwafananisha katika ubora?Shida ni kwamba mimi naongea ambacho nimekiona wewe unataka takwimu yaani kama vile inatakiwa nitafute takwimu kuthibitisha kua jamaa kuna magoli amekosa wakati nimeshuhudia.
Ni kweli tulistahili penati mbili ya Nelson na yake. Ni kweli jamaa overall kacheza vizuri.
Lakini je unatamani 75M icheze hivyo?
Sahihi kabisa, watu walimsakama sana Matteo sasa hivi wameuchuna kama sio waoHapa kibanda umiza,mashabiki wenzetu wa Arsenal,wamehamishia kelele zao kwa Pepe.Nikawauliza Guendouzi vipi?Siwasikii mkipiga kelele siku hizi,Imekuaje?Wakabaki wanajichekesha!!!!!!Tunatafuta mtu wa kumpa lawama,kila mechi.Tuwe wavumilivu kidogo
HahahahahaHao ni.mamluki tu
Jamani mashabiki wa Arsenal baadhi yenu mbona mnakua hivi?Punguza chuki mkuu,hakuna asiyekosea .....kikubwa ninachokiona watu tuna haraka ya kuona jamaa anayafanya Yale aliyoyafanya LILLE katika muda mfupi sana.........tumpe muda ,tuwe na imani nae...
Wewe hapo ukihamia manzese Leo itakuchukua muda kuzoea vichochoro,utapotea sana,utaingia sana uwani kwa watu Ila ukishazoea aaaaaaaaaahhhhhhhh
Alienda aiseehhh yan dogo gue anapenda sana ugomvi....hapo ktk picha hajaonekana tu
Sasa nimchukie Pepe ili iweje? Anachezea timu ninayoishabikia nimchukie ili iweje. Chuki ni neno gumu kweli kweli, Mustafi wakati anasababisha magoli sikuwahi kumchukia ila nilikua nasema simkubali.Sio haraka kihivyo mkuu muda mwingine muhimu kuvumiliana,wewe unafikiri hazard anavyocheza kule Madrid ndio 100m ile?pulisic pale Chelsea ni 60m ile? Maana hawa ukiwaangalia kwa makini hata martinelli au saka wapo juu zaidi yao kitakwimu kwa sasa ,lakini je kiujumla wao unaweza kuwafananisha katika ubora?
Tuwe wavumilivu japo kidogo ndugu zangu ....
Wale wauza matikiti na vinyoziHahahahaha vipi Tairone,Fraga na Wilker da Silva?
Gerson Jaja je?
Hatari sana.Jana nilikua namuangalia yeye tu anavyoyamwaga hatari sana.