Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wasiojua umuhimu wa fundi Ozil hawajui mpira
Hatuna uwezo wa kumsema Ozil vibaya wakati hatuna wa kulingana naye kwenye timu jamaa ni mchezaji wa kipekee sana akicheza tu utaiona ile Arsenal yenyewe imerudi.


Siku moja Joachim Low akiwa anahojiwa kuhusu Ozil aliwahi sema

"How can you win without Ozil"

Lakini Unai haoni kitu kabisaa kwa Ozil anaona kwa Nelson na Willock

Ni muujiza unaendelea Arsenal.
 
Makocha wangapi wanagombana na wachezaji na wanawapanga aisee, kama mliona ile game ya Man cty Guardiola na Aguero wanataka pigana kabisa alafu muda si mrefu wanakumbatiana kwa upendo aisee, chuki fanya mtaani ila sio kazini bhn
 
Mesut Özil created six chances in 71 minutes against Nottingham Forest, more than any other player on the pitch.

No room for him in the squad tonight.

Unai the warking dead
 

Ananiudhi sana huyu kocha....yule ni world class player huez kumueka bench kwa personal issues wakati anaweza leta matokeo chanya
 
Naona kama vile leo tuna m-spurs mtu hapa.

Hawa Standard Liege lazima waende wakasimulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…