Arsenal (The Gunners) | Special Thread

TATIZO kuna mashabik wanafata mkumbo tu, kama mashabik wa man u ambao wachezaji wakiwanunua wanataka immediately waanze kufanya vzr ,

Arsenal INA shida ya Kocha ,

Timu haipossess ,timu kiungo hakieleweki,

Pepe ata perform vipi kama lille?

Yeye mwenyewe Pepe anasema Haitamchukua muda mrefu atakuwa form


Tayari baadhi ya mashabik wanafata maneno ya haters ,

Hao wanaomponda pepe , Ndio hao hao wenye Kina pulisic, Fred ,magwaya , ambao hakuna lolote jipya wanalofanya


Kuna hazard Kule Madrid anazulula tu, na katoka ligi ngumu EPL ,


Kuna MTU nilimwambia ,angemuona henry,Denis au Pires walivyopoteana mech 10 za mwanzo , sijui angesemaje


Juzi tu hapa lacazette alichukua muda sana kukaa sawa


Sasa pepe mech 7 tu tena nyingi katokea bench, hana preseason , tayari kelele kibao

Pepe ana kas sana ,anasema kasi yake ni ya mazoezi sio natural kama ya Auba ,

Sasa Emery hawek creative midfielder ,kama Ozil wakuwa anampitishia mipira aikute mbele,

Angalia Salah alivyokuwa ,ni MTU wa kasi sana , lkn ana mapungufu mengi sana, ila kukutana na Genius Klopp ,anamuwekea RB ya kumletea mipira ,
 
MANENO KUNTU YA PER MERYESACKER

Per Mertesacker shifts forward in his seat. “Everybody says it: ‘The Arsenal Way’… but what does it actually mean?”

There is a mischievous glint in the German’s eye. “Is it offensive, passing football? Everybody does that!” he scoffs. “We need more. We need a framework — one that gives kids a freedom to play, but that also has certain kinds of measurements so we can say, ‘This is how we’re going to play, this is Arsenal, this is world class.’”

With each of those last three statements, the former Arsenal captain bangs a fist on the table for emphasis. The gentle giant is stirring.

“I’ve presented it to Edu,” Mertesacker reveals to The Athletic. The Brazilian was appointed as Arsenal’s first ever technical director back in July, and has since sat down with Mertesacker to sketch out the blueprint for the ideal Arsenal player. “Just to give you a brief idea: we want to dominate possession but we want to win it back as soon as...
 
Unaona inavyokera kuwapiga majungu wachezaji? Sasa kama unajua anachukua muda kurudi form kwa nn unakujaga kuleta umbea ya pasta Athanas sijui. Jifunze kijana
 
Unaona inavyokera kuwapiga majungu wachezaji? Sasa kama unajua anachukua muda kurudi form kwa nn unakujaga kuleta umbea ya pasta Athanas sijui. Jifunze kijana
Madrid wamesema hawataki tena kufanya biashara na nyinyi. Mmewauzia Courtois shati na Hazard ni kibonde.

Nasikia mkajibu eti mbona na wao wamewauzia mbuzi kibao kwenye gunia ndiyo wakaamua kuwafuta machozi kwa kuwapa Kovacic.
 
Unaona inavyokera kuwapiga majungu wachezaji? Sasa kama unajua anachukua muda kurudi form kwa nn unakujaga kuleta umbea ya pasta Athanas sijui. Jifunze kijana
Southern ,acha ujinga , mm nakuja kuwacharua kimpira na kiutani, na hasa kuhusu kepa
 
Kama kocha hamtaki ozil tumeni maombi ya kumsajili Eriksen wa tote bonge la creative midfielder na hataki kuongeza mkataba tote.
Totenham hatuwez kuuziana mchezaji ni mwiko

Halafu emery ataondoka ,atamuacha Ozil tu ,acha amfanyie roho mbaya ,

Ozil alimwambia Ukweli "WEWE SIO KOCHA"

timu haiposssess MPIRA , halafu unataka Ozil akabe ,

NAUNGANA NA OZIL emery sio KOCHA
 
Madrid wamesema hawataki tena kufanya biashara na nyinyi. Mmewauzia Courtois shati na Hazard ni kibonde.

Nasikia mkajibu eti mbona na wao wamewauzia mbuzi kibao kwenye gunia ndiyo wakaamua kuwafuta machozi kwa kuwapa Kovacic.


Daah we jamaa Mungu akujaalie uishi maisha marefu umenichekesha sana hii comment yako.
 
Ujue watu hawajui tu kua kwenye ushabiki kutaniana ni kwingi kuliko facts waweza kuta utani una asilimia 51 na fatcs ni asilimia 49.

Humu hakuna uzi wa Totte?
Unasema ukweli mkuu. Uzi wa Tot upo na kuna siku niliubahatisha sema si unajua hakuna Fans wengi humu ndio maana hautokei kabisa.
 
Mchezaji hapaform avumiliwe, kocha anayabana matokeo aende...mmmmhhhh safi sana.
Kocha havumiliki mkuu, maana yeye yupo peke yke ....mchezaji anavumiliwa kwa kuwa kuna replacement waweza Fanya.....haya sasa hebu tumfanyie sub UNAI kama inawezekana!!!!!Ila Pepe anaweza akapewa program ya kujiweka sawa na wengine wakawa wanaanza....


UNAI OUT.....
 
Kepa pazia??????
Southern ,acha ujinga , mm nakuja kuwacharua kimpira na kiutani, na hasa kuhusu kepa
Yaani hawa watu wa laliga wametupiga vya kutosha yan wanatuona maboya sana

Kepa home shopping center arizabagalagala £70m

Na yule forward galasa nimemsahau mpaka jina aaaagh nimekumbuka
Moratta £70m

Filipe luiz .....dahhhhhhhh wametuonea kweli

Ila tumelipiza kwa Hazard £100m,na courtour hahahaaaaaaa kuuziwa galasa kunauma jamani msisikie

Na sasa hivi tutawauzia GIROUD kwa 80m,maana huyu nae kuna wajanja Fulani wametupiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…