Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata yule NUNO wa wolvers anafaa kabisa,lile ni jeshi haliogopi linashambulia home&awayIshu ni kwamba timu haina mipango, yaani paka Tuanzebe achomeshe boko ndio tupate goli.
Paka sasa hivi unaweza kunambia kwanini tunapata matokeo ya ovyoo na kwa kubahatisha, je ni kwamba hatuna wachezaji wakutupa matokeo ya uhakika?
Ni lini unai ameshinda hata 3-0 au 4-0 kwenye EPL akiwa Emirates, kitu ambacho ilikuwa kawaida sna kipindi cha AW tunapocheza na midtables japo tulikua na Average players kuliko hawa wa leo.
Leo tukicheza na leicester,Watford,Wolves inakua km fainal eti sisi ndo tunapigwa 3-0, 3-1,...AW alikuwa anapoteza mechi na midtables ndio sikatai, lakini haikuwa kwa wingi huo wa magoli na azidiwe hadi ball possession , never.
Sisi tulitaka kocha ajaye aanzie pale AW aliposhindwa, ila huyu naona anaturudisha nyuma tuanze kujifunza hadi ball possession tena, AW kwa timu hii angefanya poa mara kumi zaidi ya huyu anachokifanya.
Fukuza huyu leta Ten hag tuenjoy football.
Jana timu yenye defence mbovu inakutana na timu yenye forward butu, utategemea draw tu
Man U wazuri nyuma na katikati wamefanana kidogo na Arsenal ila mbele ni butu
Arsenal wazuri mbele, katikati wamefanana kidogo na Man U ila Nyuma ni bomu
Ndicho kilichofanya jana mpira uwe hovyo, boring na hakukuwa na burudani kabisa. Utadhani Stendi na Singida United ndizo zilikuwa zinacheza. No game plan nzuri, no ball control, no dribbling, long passes ambazo nyingi zilikuwa zinafail. Majirani msipojirekebisha mid-table ni yakwenu hata top six hakuna
Dogo Gnaby naona kawatia nne spursGnabry on leaving #Arsenal:
"[Arsenal] had so many wingers at the time - Chamberlain, Rosicky, Theo, Cazorla, Alexis, Özil - so I just had to go. I was still confident I could've got in the team but I didnt want to wait. I didn't want to be fourth or fifth choice any longer"
ana 3 tayariDogo Gnaby naona katupia mbili dhidi ya spurs
ana 3 tayari
SERGE GNABRY KAWEKA 4 PEKEYAKE AISEE....HAWA KINA NELSON KWELI WATAFIKA HUKU????????
Acha tu tena namna jamaa anascore very comfortably. Kamfunga yule kipa kwa mguu wa kushoto mara mbili na wa kulia mara mbili, Nelson jana kakosa goli kwa mguu wa kushoto na kashindwa kupiga krosi kwa mguu wa kulia, huyu anatumia mguu gani sasa?SERGE GNABRY KAWEKA 4 PEKEYAKE AISEE....HAWA KINA NELSON KWELI WATAFIKA HUKU????????
Mkilipiza zile nne za Man U mkikutana kwenye Ligi heshima yangu utapata.Ipeni heshima London kama Chelsea. Mnakaa kizembe mnooView attachment 1221183
Baba huo mtindo wa kushambulia kila mahali ndiyo ulifanya Simba afe tano tano na Arsenal tukafa kumi ndani ya mechi mbili na Bayern na Barcelona kutupopoa kila tulipokutana nao.Hata yule NUNO wa wolvers anafaa kabisa,lile ni jeshi haliogopi linashambulia home&away
Kijana tuliemkuza kapeleka msiba huko Spurs, Arsenal ni maji usipoyaoga...utayanywa tu.Ipeni heshima London kama Chelsea. Mnakaa kizembe mnooView attachment 1221183
shaffih dauda ni mchambuzi?! harafu we nyamaza tu kipigo cha manchester (utd & city) umevisahau?!Ipeni heshima London kama Chelsea. Mnakaa kizembe mnooView attachment 1221183
Once gunner always Gunner