Unai simwamini! Ulitegemea Watford wawakimbize arsenal kiasi kile?Tuachane na Mechi ya Man u ishapita
Sasa wana rejea HOLDING, BELLERIN ,KT3, LACAZETTE
Kuna mech kama 5 mbili za Europa
Naiman tutashinda mechi zote
Go arsenal Go The Gunnerz
Wachezaji watapambana hasa wengi wamerejeaUnai simwamini! Ulitegemea Watford wawakimbize arsenal kiasi kile?
Pepe ni swala la muda tu,Nimekuwa nikiongea sana kuhusu pepe basi imetosha. Asipojirekebisha atajaza mwenyewe. Kasi bila ubunifu, bila nguvu za miguu, bila utulivu KASI INAKUWA BURE.
Namuonea huruma sana Auba bonge la mshambuliaji wanaomzunguka wanamuangusha. Mshikeni sana auba asiondoke.
Na ili asiondoke fanyeni maamuzi magumu ya kubadili kocha.
Hongereni Kwa draw.
Tactics zake Europa anafanikiwa ila EPL zimegoma, aache ukorofi na upendeleo vitamcost.Mimi ishu ya Ozil Inaniuma utadhani ananifanyia mie.Wachezaji watapambana hasa wengi wamerejea
Unai anabaki sio kocha wa kutufikisha popote
Na huyu Beki ghali duniani unamzungumziaje?Nimekuwa nikiongea sana kuhusu pepe basi imetosha. Asipojirekebisha atajaza mwenyewe. Kasi bila ubunifu, bila nguvu za miguu, bila utulivu KASI INAKUWA BURE.
Namuonea huruma sana Auba bonge la mshambuliaji wanaomzunguka wanamuangusha. Mshikeni sana auba asiondoke.
Na ili asiondoke fanyeni maamuzi magumu ya kubadili kocha.
Hongereni Kwa draw.
Martineli na Tierney hawapangi. Jana anamuacha mtu kama Ozil ,
Kila akiwaingiza wale watoto wawili Willock & nelson ,havikabi , timu katikati inakuwa kama kuna Ombwe
Nelson anapiga kijishuti , kama hajala ,
Sijui kwanini Unai anapagawa akikutana na timu kubwa.
Ben Leno mtuu na nusuView attachment 1220308