Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,Guendouzi ndio tunamtegemea ,pia nauona mwanga kwa SAKA ,Auba kama kawaida ameshikilia kibarua cha mtu flani hapo.
ARSENANEEEEEE.....8-1......Wewe bhana acha kujificha, mech ya mwaka huu umekula 4-0
Lkn nilishawaambia Dully , pale hakuna kocha ,na haionelani anaipeleka wapi timuNina hasira hapa yaani dah
Lkn nilishawaambia Dully , pale hakuna kocha ,na haionelani anaipeleka wapi timu
Nottice hicho ndiyo kiungo ambacho mashabiki wanakitaka. Kimewekwa, kinafanya hayo.
Pepe hapana. Huyu siyo scorer, siyo mpiga cross mzuri. Guendouz as usual control na stamina hamna kitu. Nelson mjinga sana. Kakosa goli ambalo angescore kwa mguu wa kushoto na ameshindwa kupiga kros kwa mguu wa kulia now I wonder jamaa anatumia mguu gani?
Notice kwamba hakuna hata mtu aliyepiga shuti nje ya 18. Timu imecheza mpira mbovu mno, hakuna connection hata moja niliyoiona, ni kama vile kila mtu yupo kivyake.
Now simaanishi tulitakiwa kushinda kirahisi isipokua namaanisha ilitakiwa tuonyeshe tunajaribu kushinda. Anyway nilibet itakua suluhu so nimepunguza machungu kihivyo niliwekeana na mtu elfu mbili.
Nilichogundua huyu kocha wetu hapendi watu wanao challenge mbinu zake mbovu za ufundishaji ndio maana anawapanga hawa watoto wake wanaokubali kila asemacho, poor Unai.Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,
Angalia ana waingiza kina willock na nelson ili tufungwe afurahi
Ozil kamuacha ,kisa bifu
Hata Mimi nimeshangaa sana kwa lile shuti dah tena peke yakeHuyu nelson kanikera anapata nafasi ya kumaliza biashara anapiga kijishuti pambav ngoja nilale
Na ndio maana hawataki kina Ozil ,lt11 ,laca maana wanamchallangeNilichogundua huyu kocha wetu hapendi watu wanao challenge mbinu zake mbovu za ufundishaji ndio maana anawapanga hawa watoto wake wanaokubali kila asemacho, poor Unai.
Unai ndio anawataka watu kama haoHata Mimi nimeshangaa sana kwa lile shuti dah tena peke yake
Hawa watoto wanazingua wajaribu kujifunze kwa wenzao ile confidence level, kama wanajiona wadogo wanatakiwa wajue hata Guendouz na saka ni wadogo pia lakini wanasumbua watu wazima.Huyo kocha ana watetez wake ,lkn mm nilishasema unai hawez kutufikisha popote ,
Angalia ana waingiza kina willock na nelson ili tufungwe afurahi
Ozil kamuacha ,kisa bifu
Pepe ana kas sana , tatizo kocha kashindwa kumtumiaHawa watoto wanazingua wajaribu kujifunze kwa wenzao ile confidence level, kama wanajiona wadogo wanatakiwa wajue hata Guendouz na saka ni wadogo pia lakini wanasumbua watu wazima.
Angalia yule mtoto Saka mpira haupotei kizembe utadhani mtu mzima kumbe mtoto tu.Ashley young anabaki kumshika tu.
Pepe mpira anaujua,ila confo ipo chini anashindwa kutulia kufanya maamuzi ya maana.Huyu jamaa tusubiri laca arudi labda anaweza punguziwa majukum akarelax kidogo acheze mpira, maana yupo under pressure sanaplus ile Transfer record signing ndio inamchanganya zaidi.