Pamoja na kwamba hiyo ndio nafasi yake, lakini yampasa awe na flexibility hili kuendana na aina ya mpira wa wapinzani.
Man U ni timu inayotegemea sana kutengeneza nafasi kupitia pembeni na huu ndio utamaduni wa mpira wao.
si unaona hata midfielders wao wakipata mipira wanaipieleka pembeni, basi hakuna budi na sisi midfield yetu kutanua uwanja na inasaidia hata kwenye marking.