Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Msimu huu Guendouzi si ameanza mechi zote za EPL au??Guendouzi akija kipindi cha pili ndo anafaa zaidi.
Huyu dogo si defensive midfielder yeye ni attacking midfielder.
Ana mwono wa pasi za uhakika na msaidizi mzuri wa mashambulizi.
Ni mfano wa Cesc Fabregas.
Ndo maana Emery ni vigumu kumpanga hyu na Ceballos pamoja.
Hivyo Torreira hucheza kama DM na husaidia kulinda safu ya mabeki wa nyuma.
Kwahiyo kwenye mechi kama ya kesho ni jambo la uzuri tukinza na Xhaka, Torreira wakiwa na Ceballos mbele yao.
Baadae kutegemea na hali ya mchezo, Guendouzi anaingia kama Attacking midfielder.
Ila kuna mechi huwa anaanza kucheza endapo tu Torreira ana tatizo au amerudi kutoka kwenye majeraha.
Kiukweli mimi nlikuwa namtaka zaha but 80 ilikuwa ndefu sana. Nakubaliana na management kuamua kum-ditch na kumsajili pepe. Zaha ni injury prone, zaha is 2 years older than pepe.Binafsi naamini Zaha yupo anapostahili kua. Akijichanganya kwenda timu kubwa hiyo timu itakua imeingia mkenge. Niliona sawa tu Emery aliposema hana mpango naye.
Mkuu na wewe umeliona hili eeeeh!! MUN huwa wanachangamka tukikutana nao tofauti kabisa na game zingine, na kocha wetu huyu tulienae wanaweza wakatuoshea aisee.Haahaha!
Nyie wana arsenal niwa chawi mbona..Mda kama auendi mtu letee point zetu 3 OT pale
Willock asianze ,bora aanze SakaLitakuwa ni jambo la uzuri Emeri pale nyuma akianza na hawa pamoja na David Luiz mbele ya Leno.
Yaani kulia Chambers. na Tierney kushoto, kati Luiz na Holding.
Kati Torreira na Xhaka
Ceballos nyuma ya Aubameyang, Pepe na Joe Willock kushoto.
Hapo OT-Old Toilet lazma tuwaburuze nyie nyumbu utdNyie wana arsenal niwa chawi mbona..Mda kama auendi mtu letee point zetu 3 OT pale
David Luiz kesho kwa Rashford lazima achomeshe penalty.
Kwa ile foward yenu ya kina pepe (Kichekesho), kesho Degea anadaka huku ameziba jicho moja, na mkono mmoja anaufunga kamba na bado atatoa clean sheet.
Sasa hivi wanasema hata wawe wabovu vipi sisi Arsenal ni kibonde kwao,ngoja tuone kesho kama yatajidhihirisha hayo.Tatizo hatuwabani tunacheza open game hasa nyuma, na kocha wetu alivyo bwege tunaweza kuchezea kama chelsea
Hii ni mechi ya pepe,saka na auba as front three, full stop ...hayo mengine nikujifanya wajuha kwenye hamna.Hii show ingependeza kama Lacazette angekuepo.
Anayesema Willock awepo itakua hataki tushinde mapema. Willock alifika kwenye boks mara mbili akitokea kushoto akashindwa kuscore, Auba akaenda eneo lilelile mechi hiyohiyo mara moja tu na akascore na mabeki wakawa wanambana asifike tena pale.
Kwahiyo ama tumchezeshe Saka, Auba na Pepe. Au Auba, Martnell na Pepe. Xhaka awepo ampigie tena De Gea lile shuti kata kiuno.
Wachezaji ni wengi na wote wana potential kiasi kwamba mtu unashindwa kujua nani aende wapi. Nahisi Emery ndiyo hua kichwa kinamuwaka kutuzidi.
Wameshasahau msimu uliopita walituchangia point 4Sasa hivi wanasema hata wawe wabovu vipi sisi Arsenal ni kibonde kwao,ngoja tuone kesho kama yatajidhihirisha hayo.
Saka kesho ataanza kuna uwezekano mkubwa ,Jamani mimi nimejikuta tu Saka namkubali asee, natamani dogo awe our regular starter kila mechi, [emoji13][emoji13][emoji13]
SAKA for the show.