Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mmmmhhh....labda kwenye backline lakini sio timu nzima aseeehhhh,tatizo hawa watoto legelege mnoMechi tumecheza poa.
Nelson na Willock walikosa magoli. Wamejirekebisha, wamescore.
Beki yetu siyo tamu sana. Kuna thru ball moja ilipigwa tatizo sttiker wa Nottin hakua makini.
Guendouz hayupo yet katikati tumetawala na mashambulizi yamepandishwa vizuri tu.
Nimefurahi kuona mabeki wetu wamerudi.
Napendekeza kikosi hichi hichi kicheze na Man U.
TIERNY anapiga Kross vzr sana
Kolasinac namba bye bye
Ozil carabao duuuh!Ozil na mechi ya carabao hamalizi
Ozil hachezi kwa furaha kabisa mpaka kiwango chake kime drop
Kocha anazingua sana huyu
Tuna kocha wa Ajabu haijwahi kutokea
Unamjua UNAI unamsikia?Kiujumla timu imecheza vizuri, wachezaji waliotoka majeruhi Tierney, Berallin na Holding mechi hii itakua imewaongezea kujiamini.
Kuna mambo Unai ni lazima ayajue;
Nafasi ya Toreila ni DM, kumpanga Xhaka ni kujitafutia lawama zisizo na msingi.
Martinelli ni azina yetu inabidi apewe nafasi gemu za EPL ili kuongeza uzoefu na stamina.
Game na Man nikiona Luiz/Sokratis na DM Xhaka nitahitimisha Emery tumepigwa.Mabek tushawapata sasa
Bellerin
Chambers
Kirean
Holding
Mustaf
Luiz
Sokratis
Muhind Unai atupangie ujinga wake
Kwan bado hujahitimisha tu kuwa Emery tulipigwa?Game na Man nikiona Luiz/Sokratis na DM Xhaka nitahitimisha Emery tumepigwa.