Arsenal (The Gunners) | Special Thread

the second goal ilisababishwa na makosa ya chambers, nauelewe kwamba xhaka aliogopa kuucheza mpira kwasababu alikuwa tayari ana yellow card...huo ndio uhalisia mkuu
 
Jana haikua mara ya kwanza kwa Nicolas Pepe kuongoza kwa kutengeneza nafasi na kukokota mpira kwa Arsenal, sasa kaanza na kufunga naamini ataongeza kujiamini na mambo mazuri yatakuja. Tusimuongelee vibaya bado mapema mno.

#coyg
#ArsenalBongo
 
Bernd Leno ameokoa michomo 29 mpaka sasa zaidi ya golikipa yoyote katika EPL.

@squawkafootball
#coyg
#ArsenalBongo#EPL
 
Tuwe wazalendo kwenye football Liverpool hajafungwa EPL Anfield toka 2017 arsenal hata wangekuwa na Messi ,Hazard, Lewando kupata point 3 haiwezekani ,team itakayovunja hii record ni City tena kwa tabu sana na kupitia mateso makubwa
hujui unachokiandika au pengine huna rekodi ya Liverpool
 
Tomorrow we will be in action against Nottingham Forest at Emirates in EFL kuanzia saa 3.45 usiku EAT
 
My team for Nottingham Forest (4-2-3-1/4-3-3): Martinez, Bellerin, Holding, Mavropanos, Tierney, Burton, Willock, Emile Smith Rowe, Nelson, Saka, Martinelli.

Would love to see Balogun and John Jules play some part.
 
HII MECHI SITAKUJA KUISAHAU MAISHA YOTE, HAKIKA WANAOSEMAGA MAREFA WALIKUWA WANAIBEBA MAN U HAWAKOSEI ....

Arsene Wenger: "We lost our status as Invincibles against Man Utd in a game where referees shared some of the responsibility. It wasn’t deserved. When I die, I’m going to ask God where the referees are before I choose between Heaven & Hell." #AFC #Arsenal

 
Balogun, John-Jules, Saka and Bola trained with first-team today. Bellerin, Holding and Tierney trained as well.
 
My lineup tomorrow vs Forrest:

First starts for Bellerin, Holding & Tierney, we need them in our back line ASAP. Would start Torreira, Willock & Saka at Old Trafford Monday but also give them run-outs tomorrow. Rest Auba & Pepe and give Martinelli a chance to impress. #AFC
 
Enrique,Ten hag,Arteta ....bila hao hakuna mwingine wa kuturudishia mpira wa wenger kirahisi.
 
Hakuna kocha pale, hana Consistency afu kila game mipango mipya, hata umpe mchezaji gani atazingua sababu hana principal code inayoeleweka kwenye ufundishaji wake.
 
Chambers sio game na frankfurt tu,pre season yote kaperform vizuri, pia game na Newcastle katoa cleanshit

Chambers ni wakucheza CB kabisa na mmoja kati ya luiz au sokratis, maana wao wameshindwa combo haieleweki wanatoa magoli mepesi sana.
 
Aston villa ambao wapo chini kabisa wametusumbua itakuja kuwa man u OT. hiyo mechi hata draw hatupati
Man u wanaweza shinda kirahisi sana kwa mabeki wetu mabwege wale kama Daniel james na rashid wakitulia vzuri pia magwaya na lindelof wale sahani moja na Auba, hio mechi wanaimaliza mapema sana.

Tegemeo langu ni kwa Bukayo Saka, najua pepe is not good enough for now pia atakamiwa sana, ila Saka akipangwa atampa nguvu kubwa Auba.
 
Unajua mkuu na huendeshwi na mihemko
 
My team for Nottingham Forest (4-2-3-1/4-3-3): Martinez, Bellerin, Holding, Mavropanos, Tierney, Burton, Willock, Emile Smith Rowe, Nelson, Saka, Martinelli.

Would love to see Balogun and John Jules play some part.
Halafu hivi vitoto timu ikifungwa tuje tumnange kocha hapa
 
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Rob Holding
󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿 Kieran Tierney
Hector Bellerin

Arsenal could have a new-look defence in the Carabao Cup this week...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…