Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Aisee hata Mimi ila tuna kocha game za away hajui kupanga na muogaMi huwa napenda game kama hii aanze Auba na Lacazzette game inaisha first half tu
Hahahah dah ebwana actually bado nipo kijiwe nongwa tunajadili games za leo na nimemix codes.Umeona mwanangu ambavyo humpendi Guendouzi?? Game ya Frankfurt Guendouzi hata hakucheza.
Aiseeeeeeeeeee
Alivyotoka Xhaka timu ikaanza kucheza vizuri. Sijui Unai anashindwa vp kuona vitu basics kama hivi. Huyu kocha lazima atakua na matatizo na baadhi ya wachezaji, hakuna namna Xhaka aanze mbele ya Lt11 ambaye ni kiungo mkabaji halisi.Aisee hata Mimi ila tuna kocha game za away hajui kupanga na muoga
Anamuweka Xhaka DM , mashabik wamezomea Leo xhaka anavyotoka
Nilidhani uwepo kwenye bench yule legend angetusaidia ila nashindwa kumuelewaAisee hata Mimi ila tuna kocha game za away hajui kupanga na muoga
Anamuweka Xhaka DM , mashabik wamezomea Leo xhaka anavyotoka
Wana hali mbaya bora sisi
Kocha mkuu ndio mwenye maamuz ya mwishoNilidhani uwepo kwenye bench yule legend angetusaidia ila nashindwa kumuelewa
Ni kweli ila sometime anatuangusha,kama sub za Watford alizinguaKocha mkuu ndio mwenye maamuz ya mwisho
Nimefurahi ,ila mna kocha mzuri sana ,Mmecheza vzrUtakuwa ume enjoy mkuu
Hahahaahahahahahah!Hahahah dah ebwana actually bado nipo kijiwe nongwa tunajadili games za leo na nimemix codes.
Nilimaanisha Watford.
Cc: CastrMattéo Guendouzi vs Aston Villa:
1 penalty won
84 passes
88% pass accuracy
1 shot
1 dribble won
3 key passes
9/10 accurate long balls
1 interception
What a performance! Monster in the making!️ #AFC #ARSAVL
Overall, the kid is now a big plus in Arsenal team.Arsenal really, really got away with that. A lot of credit has to go to Guendouzi, at times it felt like a one-man mission from him to get his team back into a match that looked lost. Poor in the first half but simply phenomenal in the second.