Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Auba anajua malengo ya timu. Anajua we want to take the team back to UEFA na ku-win either FA , league cup or EUROPA.Nina wasiwasi sana kama Auba atabaki kwenye hii timu yetu isiyo na malengo hasa tusiposajili vizuri January, kwa kiwango hicho cha kufunga Real Madrid, Barcelona watakuja tu maana teams hizo saizi zinasuasua
Beki hatuna kabisaMkuu angalia mpira kwa makini Beki yetu aliyepewa red bado sana kwenye kukaba hata goli la mwanzo cross ilitokea kwake anakaba kwa macho. Pia comb ya Luiz/Sokratis imefeli makosa kibao.
Lt11 mpambanaji sana anaachwa bench, Xhaka slow anaanza.
Pole ndugu, your wish hazitokuwa for this season.For the first time and despite the result we pulled, I still want #EmeryOut Arsenal
Guendouzi huwezi kumkataa dogo yupo vizuri anahitaji kuwa na kiongozi tuGuendouzi mnaemkataa ndo kasababisha tupate penalty na kaanzisha shambulio la goli la chambers,huyo dogo ni talented na atazid kuwaaibisha mnaompinga, xhaka na niles ni takataka
Sikatai mkuu, sikatai kabisa bro.Mkuu angalia mpira kwa makini Beki yetu aliyepewa red bado sana kwenye kukaba hata goli la mwanzo cross ilitokea kwake anakaba kwa macho. Pia comb ya Luiz/Sokratis imefeli makosa kibao.
Lt11 mpambanaji sana anaachwa bench, Xhaka slow anaanza.
Tena these three point will prove to be very important points come May 2020.Guendouzi mnaemkataa ndo kasababisha tupate penalty na kaanzisha shambulio la goli la chambers,huyo dogo ni talented na atazid kuwaaibisha mnaompinga, xhaka na niles ni takataka
Leo dogo kacheza vizuri sana. Ana spirit ya kupambana pia bado mdogo miaka 20 tu.Guendouzi mnaemkataa ndo kasababisha tupate penalty na kaanzisha shambulio la goli la chambers,huyo dogo ni talented na atazid kuwaaibisha mnaompinga, xhaka na niles ni takataka
Enzi za wenger United wanapanga wachezaji wapumbavu na namba 8 wao ni kile kitoto fabio na tunakufa 8.Unai kaifanya Arsenal kuwa kama Evarton tu, enzi za Wenger hii game ameshamaliza first half, sasa Aston villa inatusumbua hivi tena Nyumbani Emirates..
Kamsaidia ili apate goli arelaxSema Auba yupo fair sana yaan kamuachia Pepe apige Penalty badala ya kupiga yeye aongeze magoli
Hapo tupo sawaLeo dogo kacheza vizuri sana. Ana spirit ya kupambana pia bado mdogo miaka 20 tu.
Ila nashindwa kuelewa Unai anampenda nini Xhaka,huyu ndio chanzo cha matatizo na yule Maitland. Hizi ni za kuuza kabisa yaani kila wiki zinafanya mistakes zile zile.
Angeanza na Lt11 na Guendouz kiungo ya chini then beki ya kulia Chambers. Pale kati ndio panafanya beki zetu zizidiwe.
Mi huwa napenda game kama hii aanze Auba na Lacazzette game inaisha first half tuUNAI akipanga kikosi vzr ,man u tunawalamba asubuhi kabisa ,ila kwa upumbavu wa emery Hiyo mech itakuwa ngumu