Mkuu unamchukia tu huyu. He is as it stand the engine of the team.
Hebu muangalieni bila kuwa na bias jamani. Tatizo xhaka
Hivi ndugu hizi habari unazipata source ipi???Josh hafurahishwi na uwezo wa emery
Hivi arsenal wanataka mpaka Alegri aende man u?
Hahaha mtu wangu wa Guendouz umekuja.Mkuu unamchukia tu huyu. He is as it stand the engine of the team.
Hebu muangalieni bila kuwa na bias jamani. Tatizo xhaka
This is EPL bro.Tumeshinda sawa ila bado tunashinda huku tumebana Map**** ushindi gani sasa huo
Mbele ya liver yeah wabovu sikataiTumeshinda ndiyo. Ila sisi ni wabovu
Reliable sourceHivi ndugu hizi habari unazipata source ipi???
Have faith bro
Wewe wapi umeskia kuna bifu la ozil na unai?? Bifu zikiwepo hazijifichi bhana.Wewe Acha kumtetea Unai kabisa
Anakomaa na Kombi ya Luiz na Sokratis inafanya errors kibao,Nje ana Chamber anacheza CB na LB vzr kabisa ,
Anamchezesha Xhaka DM anakabia macho ,wakati Klabu iliingia sokon kuleta DM lt11 ,
Anampiga bench ozil na LT11 Kwa mabifu yasiyo na maana
Tumecheza game 6 mpaka sasa, waambie waziangalie tena halafu wafanye assessment utajua why kocha anamchezesha GuendouziWengi huwa hawaangalii mpira kwa jicho la tatu
Tumecheza game 6 mpaka sasa, waambie waziangalie tena halafu wafanye assessment utajua why kocha anamchezesha Guendouzi
Umeona mwanangu ambavyo humpendi Guendouzi?? Game ya Frankfurt Guendouzi hata hakucheza.Hahaha mtu wangu wa Guendouz umekuja.
Nat ni kinabo wa control na stamina kila siku ndicho ninachosema. Hata mechi na Frankfurt aliprove hii.
HahahahaahahaahahhaReliable source
Nakubaliana kwa asilimia nyingi na wewe broo.Lt11 anatakiwa aanze kila game kama DM
Nane ampange guendouzi
Kumi ceballos
Auba kama kawaida 9
Nne na tano chambers na luiz
Aachane na sokratis na xhaka
Au xhaka ampeleke mbele nane
Wewe wapi umeskia kuna bifu la ozil na unai?? Bifu zikiwepo hazijifichi bhana.
Labda holding arudi lakini as long as ni chambers, I support him playing Luiz & papa.
Kuhusu xhaka vs lt11 hata mimi nakubali, nadhani he needs to drop xhaka now. Kuingia sokoni sio hoja, ni hoja ya ajabu kabisa, mbona city waliingia sokoni kwa mahrez na hachezi game zote???
Sana. Sana haswaMateo anatubeba sana,