Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,273
- 13,847
0-3 Aubameyang
Achana na Aaron, matokeo ya Watford's yalimchanganya. Mourinho will never be our coach.
Wala sijafurahishwa ,Nadhan kwa ushindi huu AARON Atapata nguvu za kutembelea njuzi zetu na kujaza stats za asernal
Mourinho hapana kwakweli!.... Sipendi kabisa ule mpira wa kupaki busArsenal Fans pamoja na kwamba Mourinho ni kocha wa matokeo na hatujachukua kombe muda mrefu nisingependa aje aharibu Falsafa ya kitopaki train...
Relax mkuu!Arsenal Fans pamoja na kwamba Mourinho ni kocha wa matokeo na hatujachukua kombe muda mrefu nisingependa aje aharibu Falsafa ya kitopaki train...
Mleteni kwetu tuwapatie pesa na Giroud bureNYIE WATU. tuwape rashford buree
Tuna Eddie nketiah yupo Leeds ni zaid ya makameNYIE WATU. tuwape rashford buree
Emery hajawahi kufanikiwa kusuka defensive ktk maisha yake ya soka kama kocha.Japo tumeshinda ila defensive tuna matatizo makubwa pia midfield yetu haina uwelewano inaruhusu mashambulizi mengi. Unai kwa hili anabeba lawama kwa kutokucheza aggressive midfielder.
Tuombee Tierney na Bellerin warudi wakiwa fit pia tukipata combination nzuri ya CB natumaini tutafanya vizuri.
mbona hata huyu Unai kashatupotezea identity yetu kabisaaaaaaa.......maana Arsenal yetu tunayoijua sio hii,tulikuwa tunacheza soka la kuvutia ambalo lilifanya hata wasio washabiki wa Asenal kwenda uwanjani kutazama burudani.....leo hii inanipa tabu sana kuitofautisha arsenal na Yanga maana Watford wakutupelekapeleka sisi namna ile kweli?hata hii game ya jana jamaa wamemiliki mpira asilimia 52 dhidi ya 48 zetu kitu ambacho kipindi cha Prof Wenger ni aghalabu kukikuta,yaani tunakufunga na mpira tunaupiga mwingi sanaaaaaaaaaa,sasa hivi tushinde hakuna burudani tufungwe hakuna burudani kudadadeki.....#UNAI_OUTArsenal Fans pamoja na kwamba Mourinho ni kocha wa matokeo na hatujachukua kombe muda mrefu nisingependa aje aharibu Falsafa ya kitopaki train...
Nitafurahi siku likifukuzwambona hata huyu Unai kashatupotezea identity yetu kabisaaaaaaa.......maana Arsenal yetu tunayoijua sio hii,tulikuwa tunacheza soka la kuvutia ambalo lilifanya hata wasio washabiki wa Asenal kwenda uwanjani kutazama burudani.....leo hii inanipa tabu sana kuitofautisha arsenal na Yanga maana Watford wakutupelekapeleka sisi namna ile kweli?hata hii game ya jana jamaa wamemiliki mpira asilimia 52 dhidi ya 48 zetu kitu ambacho kipindi cha Prof Wenger ni aghalabu kukikuta,yaani tunakufunga na mpira tunaupiga mwingi sanaaaaaaaaaa,sasa hivi tushinde hakuna burudani tufungwe hakuna burudani kudadadeki.....#UNAI_OUT