Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aroon, mimi na wasiwasi sana mourinho...ulempira alikuwa anaucheza man utd ni mbovu sana, alafu saivi amekuwa tia maji sana tofauti alikuwa Chelsea ya drogba.

falsafa za Mou na arsenal ni maji na mafuta mzee, badoo tutakuwa hatujatatua tatizo kabisa!, jamaa ana mpira wa ovyo sana.
Achana na Aaron, matokeo ya Watford's yalimchanganya. Mourinho will never be our coach.
 
Ukiangalia Kwenye Hiyo List ya Waliosafiri na Team Kwenda Germany Utagundua Mesut Mustapha Ozil Hayupo na Hakuna Sababu za Yeye Kutosafiri na Team

Ozil ni Mojawapo ya Watu waliowahi Kumwambia Unay Dhahiri Shahiri Kuwa Wewe Sio Kocha..

Ozil Sisi Wenyewe Arsenal Ndo Tunamuharibu Ila Pale Kwetu Hatuna Playmaker Kama Ozil Yule Jamaa Ukitengeneza Team Yako Kwenda Mbele Kwa Mipango sio Kiholela Olela Kama Unay ,Ukamiliki Mpira Vizur Atakulainishia Njia Za Magoli na Utafunga Magoli Yanayovutia na Mpira Wa Haja..

Sina Imani na Unay EmeryView attachment 1211280
Broo unaongea sana!

Hebu fuatilia kwanini ozil hajasafiri.
 
Kocha gani hawezi kupambana na timu kubwa, kila siku yeye anakwambia "we are working to improve, we are working on our way "... paka lini tukupe muda gani wa kuimprove? unapoteza point game nyingi kizembe tu, afu unasema unaimprove ujinga au?
Katika mwaka arsenal imeperform vizuri against big fishes ni simu wa mwaka Jana ambao ulikuwa ni wa kwanza kwa Emery.

4 points from spurs
4 points from United na
3 points from chelsea
 
Back
Top Bottom