Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha ushabiki pepe anacheza vzr tu,Hivi pepe mmemuona anavyocheza jamani? Ligi ya epl imekuwa kubwa kwake nashauri mtoeni kwa mkopo alipotoka
Cha kwanza tupate kocha mwenye FalsafaAta Luis atufai, lete coeman, Simeon au yule wa ajax, ata allegri sio mbaya ingawa si mkubali sana. Ila tungempata klopp daah maisha yangekua matamu sana hv hakuna namna ya kuwafanyia figisu liver watupe mashine hyo
Wenger angepewa hii timu sasa hivi tungekuwa tunapambana na Liverpool na cityKocha ndo chizi kwa kushindwa kupanga kikosi makin, luiz ameshaonyesha madhaifu mengi bado una mn'gang'ania unatufuta nn na chambers yuko benchi, unacheza mechi bila DM na dm unae bench unataka n?
Manazi ni nyie Arsenal, timu mbovu maneno mengi hatulali mtaani. Je timu yenu ingekuwa bora kama Liverpool au Man city si mngetunyonga kabisaUnajua nyie tumeshawazoea unazi mmetanguliza mbele, hata kama msingekuwa na kante mngekuja na ngonjera kwamba mlikuwa na Hazard hivyo ilimfanya Luiz acheze kiurahisi.
Hamnaga fact mnayoongea zaidi ya kuona kila mchezaji mzuri ni wa chelsea, Nina uhakika Tammy akifunga next match mtasema ni bora kuliko Salah, Auba na Aguero. Haahaha!
Tunawajua vizuri.
Mou anavizia kibarua arsenal muda mrefu tu ,ni swala LA mudaLoh morinyo asije aisee ataongeza upinzani EPL.
MOU ni mzuri wa kusuka timu hasa defense ila hakawii kugombana na mastaa kama akina Ozil, Auba na PepeMou anavizia kibarua arsenal muda mrefu tu ,ni swala LA muda
Ni kuongeza presha tu ,emery afukuzwe kabla msimu haujaisha ,maana Mkataba wake unaisha mwez wa 6.
Anagombanaga na wachezaji viburi ,MOU ni mzuri wa kusuka timu hasa defense ila hakawii kugombana na mastaa kama akina Ozil, Auba na Pepe
@AARON unanifurahisha sana, mimi mwenyewe namchukia Unai toka tushindwe kufuzu Uefa kizembe last season na final ya BAKU.Ukitaka kujua kwamba kocha wa Arsenal hana mipango thabiti chukulia mfano huyu kocha wa Liverpool mjerumani Jurgen Klopp alifosi sana kumchezesha HENDERSON pale kiungo cha chini timu ilikua inaruhusu sana magoli baadaye akaja kumpata EMRE CAN na sasa hivi yupo FABINHO tayari yaani amestick kwenye huyu huyu FABINHO.
Sasa Emery yeye msimu uliopita Arsenal mechi mbili za mwanzo alifungwa zote dhidi ya Man City na dhidi ya Chelsea ikaja kugundulika tatizo ni kumuweka TORREIRA benchi na kuwaamini sana GUENDOUZI na XHAKA mechi ya tatu dhidi ya WEST HAM akamuweka benchi GIENDOUZI wakaanza XHAKA na TORREIRA ile double pivot ya pale kiungo cha chini na timu ikashinda bao 3 ,huku LT11 akibeba MOT za kutosha,na timu ikacheza michezo 22 bila kupoteza baadaye mechi na SOUTHAMPTON ambayo ilikua mechi ya 23 akabadilisha kikosi akawapanga GUENDOUZI na ELNENY timu ikafungwa 3 kwa 2 St.Marys pale kocha basi hata labda angejishtukia kwamba kilichopelekea kufungwa ni kudisturb first eleven hata akili yake ikawa haiwazi hivyo mara IWOBI akawa anapangwa Central Attacking Midfielder halafu OZIL benchi mara Granit Xhaka akawa anapangwa left back timu haipati matokeo halafu kocha hajishtukii tu.
Sasa saivi watu wanaangalia errors za DAVID LUIZ za kusababisha penalty wanashindwa kuona kwamba LUIZ anapangiwa juu yake GRANIT XHAKA hivyo anafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja LUIZ huyo watu wameangalia mabaya yake tu ila anayoyafanya mazuri hawayaoni
NDIO MAANA NINASEMA MIMI NITAKUWA MTU WA MWISHO KUWALAUMU WACHEZAJI ,
Saikolojikali unaumia luiz kwenda Arsenal sema tu ukweli, hata sisi ilituuma Sanchez kwenda MUN hata kama aliflop lakini hamna namna.Manazi ni nyie Arsenal, timu mbovu maneno mengi hatulali mtaani. Je timu yenu ingekuwa bora kama Liverpool au Man city si mngetunyonga kabisa
Nyie pambaneni na bomu la Luiz tulilowafungia - MBUZI kwenye GUNIA, sisi mil 8 tumeshaweka kibindoni na hakukuwa na buying back clause kwenye mkataba wa mauzo
Safi sana Marina
Wenger ndo mtu sahihi kwa Arsenal sababu timu haina wachezaji wa maana.Historia ya huyu kocha mnaijua lakini?
Kwa umri wa miaka 47 ana makombe 9
Style yake au falsafa yake kama ya Lampard ni kushambulia kwa hiyo kuimarisha frontline ni sehemu ya falsafa yake
- PSG 6
- Sevilla 3 - Europa League
Hao akina Pepe na Auba wanatakiwa kufunga magoli mengi yanayozidi mtakayofungwa kitu ambacho sidhani kama Auba mwenyewe ataweza, Pepe kwa EPL hamna kitu pale. alikuwa anafanya vizuri kwenye ile ligi ya wakulima wa tumbaku.
Hao wachezaji walizoea kubambwa bambwa na Wenga hata akija Alegri au Luis Enrique bado watakosana naye kwa sababu hatakuwepo kocha wa kubembeleza kama Wenga au sio mumrudishe Wenga bado hana timu
Kocha ni mbovu acha ubishi, tunaona makocha wangapi wanawakuza wachezaji wa kawaida wanakuwa wazuri, unafikiri kila mchezaji anayecheza l'pool ni world class? lakini mbona wanapata matokea safi tu whatever it takes.
Hata Klopp kawanunua Alison, VVD, Salah, Mane na Fabinho. Hivi Arsenal ina wachezaji wenye viwango hata nusu ya hao niliotaja hapo Arsenal?Ata Luis atufai, lete coeman, Simeon au yule wa ajax, ata allegri sio mbaya ingawa si mkubali sana. Ila tungempata klopp daah maisha yangekua matamu sana hv hakuna namna ya kuwafanyia figisu liver watupe mashine hyo