Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Chaplin tuliaJamani naombeni mumuone huruma huyu ndugu yetu AROON. anatusaidia sana kutupa updates za timu zetu sasa mkimpa za USO hivi Leo atajipiga ban wiki nzima na habari tutapata wapi sisi wa free basic hahahaha
Ila ukweli tumepigwa kwa Pepe, Unai na yule Luiz ni kachero mbobezi kutoka Chelsea kaja kuwachoma Arsenal.
Hahaha this is EPL kila wiki na maajabu yake.
Nihamie Chelsea wakat inashuka darajaAROON POLE SANA, MWONE SOUTHERN HIGHLANDS NA OLLACHUGA WAKUPE KADI YA CHELSEA UWE SHABIKI RASMI.
Hahahahahahahahah Nimepitia comments nyingi za social media za Fans wa Arsenal hasa wa UK palepale Aisee Unai Emery ana maisha mfupi sana Arsenal.Mkuu mbona mbio mbio hivo,
Hapa hatuna kocha ila soon tunamtimua
Timu ipo Kali tu
UNAI NILISHASEMA HUMU SIO KOCHASawa lakini kiongozi uyu Unai mbona kama ligi itamshinda mapema tu?? Wee unaonaje ...tumpe timu Mourihno au tumrudishe Wenger..
Anaharibu identy yetu mbwa yuleHahahahahahahahah Nimepitia comments nyingi za social media za Fans wa Arsenal hasa wa UK palepale Aisee Unai Emery ana maisha mfupi sana Arsenal.
TUNA TIMU NZURI YA KUPAMBANIA UBINGWA ILA KOCHA HATUNAHahahahaha naona timu yake inamgeuka sasa ....huyu tumemzoea hata msimu uliopita zilibaki gemu kama sita ivi msimu uishe ..uku yeye akiwa na wolves, Everton, na nyingine kdhaa ...yani alipiga esabu zake akaona Chelsea tuna gemu ngumu akachukulia maisha yatakuwa mepesi kwake lakini aliambulia draw tena kwa awa awa Watford ..zingine alipigwa...
AROON anaongeaga lakini anaujua ukweli kuhusu timu yake ...
Uku Luiz tumepigwa, Pepe tumepigwa, Unai Naye tumepigwa
Ahahah! Baada ya saa 24 za maumivu chimbo sasa ndo unatokeaBREAKING NEWS!!!!!!
Taarifa za hivi punde zinasema
"Wachezaji wa Arsenal wamechoka mbinu za kocha wao unai EMERY"
"Kwamba kila mechi anakuja na mbinu zingine tofauti na za jana au juzi"
"Hivyo Wanataka kocha mwingine tofauti na yeye"
"Hii ni taarifa Kutoka Sky sports hivi punde"
Nimekupa mechi 10 tu, usisahau. Usimlaumu tu Emery, huna timu ya ushindaniNARUDIA HATUWEZI KUHARIBIWA TEAM NA MUHUNI MMOJA , SOON TUNAMUONDOA
Arsene Wenger established a style of play at Arsenal over 22 years, the team committed to playing a type of football that was both entertaining and successful. But for all the lovely passing play, by the end of his tenure rival managers had sussed Arsenal out and left them trailing.
Aroon bado hajarudi tu?
Ngoja tufukuze hii kocha kwanza,Nawasalimu wazee wa matokeo mdomoni
Kwa kila magoli 2 au 3 Arsenal watakayofungwa, moja lazima litakuwa la Luiz
Updates
Arsenal kafungwa 8 mpaka sasa
Luiz kasha assist kufungwa goli 4
Penalti 3 kwa mechi 160 akiwa Chelsea
Penalti 2 kwa mechi 4 akiwa Arsenal
Utabiri
Kama Luiz kasababisha penalty 2 kwa mechi 4 tu, basi atasababisha penalty 19 kwa mechi 38
Leno anayo kazi
Huyu anatuharibia timu tuu!.. Mjataba wake ukiisha aende zake!.. Kochà wa kutupa mafanikio ni Maxmillano Allegri na hana timu kwa sasa..Emery sio kochaView attachment 1209269