OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,661 Richard said: Lakini tukumbuke Watford wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi. Hivyo kila mechi kwao kwa sasa ni kama fainali. Click to expand... Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester..
Richard said: Lakini tukumbuke Watford wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi. Hivyo kila mechi kwao kwa sasa ni kama fainali. Click to expand... Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester..
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Sep 15, 2019 #72,662 Southern Highland said: Mkuu mmeshinda ngapi? Click to expand... Anaandaa nondo za kumtupia lawama Unai. Ngoja.
Southern Highland said: Mkuu mmeshinda ngapi? Click to expand... Anaandaa nondo za kumtupia lawama Unai. Ngoja.
M markson 1 Senior Member Joined Feb 19, 2019 Posts 152 Reaction score 71 Sep 15, 2019 #72,663 k.shuku kibosho said: unai out serious, he isn't enough to arsenal Click to expand... Hamna kocha pale Kaishindwa psg yenye mastar ataiweza arsenal
k.shuku kibosho said: unai out serious, he isn't enough to arsenal Click to expand... Hamna kocha pale Kaishindwa psg yenye mastar ataiweza arsenal
Penison JF-Expert Member Joined Nov 4, 2017 Posts 6,372 Reaction score 12,529 Sep 15, 2019 #72,664 NEW MANAGER NEW TACTICS NEW DEFENCE Same old results
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,665 Richard said: Lakini tukumbuke Watford wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi. Hivyo kila mechi kwao kwa sasa ni kama fainali. Click to expand... Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester..
Richard said: Lakini tukumbuke Watford wanashika mkia kwenye msimamo wa ligi. Hivyo kila mechi kwao kwa sasa ni kama fainali. Click to expand... Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester..
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,667 SteveMollel said: Yani Luiz bana... kwa kuchomoaga betri Click to expand... Luiz tumepigwa mkuu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,668 zege la nyasi said: MPira hautaki maneno..... Yule luiz n mustafi aliyechangamka....🙂 Click to expand... Ongeza volume mzeee
zege la nyasi said: MPira hautaki maneno..... Yule luiz n mustafi aliyechangamka....🙂 Click to expand... Ongeza volume mzeee
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,669 Cash Money Forever said: pepe anacheza kama kuku amekatwa kichwa Click to expand... Uyu pepe tumepigwa mkuu Halafu cash ndo bado tunalipa kwa mafungu mafungu hahahaha
Cash Money Forever said: pepe anacheza kama kuku amekatwa kichwa Click to expand... Uyu pepe tumepigwa mkuu Halafu cash ndo bado tunalipa kwa mafungu mafungu hahahaha
Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,790 Reaction score 4,284 Sep 15, 2019 #72,670 Nipende kutoa lawama kwa Watford wametuangusha hii gemu wangeimaliza kabisa, tuna subiri mauchambuzi ya Aaron Kwanini Watford anataka kufufukia kwetu 😇😇😇😇😇
Nipende kutoa lawama kwa Watford wametuangusha hii gemu wangeimaliza kabisa, tuna subiri mauchambuzi ya Aaron Kwanini Watford anataka kufufukia kwetu 😇😇😇😇😇
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,671 ARV said: Ball possession..View attachment 1208504 Click to expand... Hahahaha sisi arsenal Siku iz hatuupigi mwingi mkuu.. sisi tunataka draw tu ...
ARV said: Ball possession..View attachment 1208504 Click to expand... Hahahaha sisi arsenal Siku iz hatuupigi mwingi mkuu.. sisi tunataka draw tu ...
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,665 Reaction score 25,689 Sep 15, 2019 #72,672 Ollachuga Oc said: Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester.. Click to expand... Tatizo la Arsenal haipo kwenye shape katika safu la ulinzi. Ni hadi hapo vijana Kieran Tierney, Rob Holding na Hector Bellerin watakaporudi na kushika nafasi zao za kudumu. Sokratis na luiz bado hawajaelewena. Maitland -Niles ni kiungo ambae alibadilishwa acheze nafasi ya pembeni. Safu ya Arsenal itakamilika soon. Matokeo si mabaya kwani hatujafungwa na wala hatujaachwa mbali sana na hao walio juu yetu.
Ollachuga Oc said: Hahahaha hii sio point kabisa ..sasa apo ujacheza na Norwich, bado Leicester.. Click to expand... Tatizo la Arsenal haipo kwenye shape katika safu la ulinzi. Ni hadi hapo vijana Kieran Tierney, Rob Holding na Hector Bellerin watakaporudi na kushika nafasi zao za kudumu. Sokratis na luiz bado hawajaelewena. Maitland -Niles ni kiungo ambae alibadilishwa acheze nafasi ya pembeni. Safu ya Arsenal itakamilika soon. Matokeo si mabaya kwani hatujafungwa na wala hatujaachwa mbali sana na hao walio juu yetu.
Penison JF-Expert Member Joined Nov 4, 2017 Posts 6,372 Reaction score 12,529 Sep 15, 2019 #72,673 Ollachuga Oc said: Uyu pepe tumepigwa mkuu Halafu cash ndo bado tunalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Click to expand... Hahahahahahahahah
Ollachuga Oc said: Uyu pepe tumepigwa mkuu Halafu cash ndo bado tunalipa kwa mafungu mafungu hahahaha Click to expand... Hahahahahahahahah
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,674 radika said: View attachment 1208510 Click to expand... Mzee anajuta kwanini amekosa point tatu za wazi..
radika said: View attachment 1208510 Click to expand... Mzee anajuta kwanini amekosa point tatu za wazi..
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Sep 15, 2019 #72,675 Obby18 said: Tunawachezaji Wakawaidaa sana Yani hwana maajabu kabisa... Click to expand... Aroon atapinga kwa nguvu zote
Obby18 said: Tunawachezaji Wakawaidaa sana Yani hwana maajabu kabisa... Click to expand... Aroon atapinga kwa nguvu zote
21 February JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 3,299 Reaction score 2,843 Sep 15, 2019 #72,676 k.shuku kibosho said: kaharibu salisafa za arsenal, kajaa kuaribu tu Click to expand... pole sana mkuu
k.shuku kibosho said: kaharibu salisafa za arsenal, kajaa kuaribu tu Click to expand... pole sana mkuu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,677 Southern Highland said: Wakuu niliacha mnaongoza mbili bila. Kwani mpira umeishaje? Auba naye kaondoka na mpira Click to expand... kwani Auba ni Tammy
Southern Highland said: Wakuu niliacha mnaongoza mbili bila. Kwani mpira umeishaje? Auba naye kaondoka na mpira Click to expand... kwani Auba ni Tammy
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Sep 15, 2019 #72,678 Kyatile said: Hamkumaliza kulipa deni la pepe. Bado mnadaiwa £ 50 Million. Hapa pressure zitawaua. Sisi ambao tumeizoea EPL huwa hatusemi sana mpaka zichezwe mechi angalau 10 Click to expand... Hahahaha wanalipa kwa mafungu Hili fungu linalofata linaeza kuwashinda..
Kyatile said: Hamkumaliza kulipa deni la pepe. Bado mnadaiwa £ 50 Million. Hapa pressure zitawaua. Sisi ambao tumeizoea EPL huwa hatusemi sana mpaka zichezwe mechi angalau 10 Click to expand... Hahahaha wanalipa kwa mafungu Hili fungu linalofata linaeza kuwashinda..
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,179 Sep 15, 2019 #72,679 Hii ndio Arsenal niijuayo
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,201 Reaction score 28,086 Sep 15, 2019 #72,680 Wasumbufu Arsenal wameinyima Watford point tatu.