MPira hautaki maneno.....
Yule luiz n mustafi aliyechangamka....🙂
Unai nae hii timu itamshinda upuuzi mtupu
Commentator mechi ya liverpool alisema new season,new arsenal same old results...hapo tunakung'utwa la 3.Arsenali ni ileile... miaka nendaaa ... miaka rudiii ...
Mkuu hii salisafa si ndio mlikuwa mnamtukana nayo mzee Wenger kila uchao?
Ball possession..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1208504
Hatuna jipyaMkuu umepotea sana
Huyu kocha kwasasa akizingua anafurumushwa , alipewa mkataba wa miaka miwili unaelekea ukingoni, Kuna Raul hatak ujinga , ndio maana had sasa hakuna dalili za kumuongezea mkataba ....
Daah kaka pole sana na msiba. Mungu ampe hifadhi njema na ampunguzie adhabu ya kaburi. AminaWaungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game
Hii ndio Arsenal tunayoijuaBall possession..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1208504
Hii ndio Arsenal niliyoijuaShots..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1208508