Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kweli unai amkubali torreira, hakuna haja ya kumuanzisha granit xhaka kama DM hiyo namba ni ya torreira
Xhaka ndio anaandaliwa kutangazwa kama captain mkuu,

Unai ana kiburi sana , Xhaka as DM ni majanga , hampend LT11 ,
 
Waungwana nilikua namuuguza bibi angu bahati mbaya amekufa asubuh ya leo, so nategemea mnpe update ya game yetu ikiwezekana na link za magoli nkipata mda ntakua nachungulia humu coz cwez kuchek game
Poleni sana mate.

Tunaongoza 2-0 na ni half time
 
Zimepigwa pasi 20 mpaka kupatikana kwa goli la pili hii leo dhidi ya Watford. Pasi nyingi zaidi kwa goli moja mpaka sasa kwenye EPL.

#coyg
 
*Mesut Ozil amerudi kikosini, Ceballos nae kaanza. *Hatujawai kupoteza mchezo wowote dhidi ya Watford ambao Mesut Ozil alianza.

#coyg
#ArsenalBongo#EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…