Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Unamchukulia poa poa iwobi? Iwobi form yake si ndio ya kina willian kwa msimu anakupa goli 5?Tatizo hutoi point unalalamika tu. Huyo Iwobi alikua Arsenal kafanya nini? Aje kuwika akiwa Everton. Sitegemei makubwa kutoka kwake. Nawaza Iwobi ndio yupo Chelsea sijui anamuweka nani benchi? Pedro? Pulisic? Odoi? Willian?
Siamin wonder naamini kinachoonekana sasa. Tunazumngumzia ubora wa Chelsea na Everton wewe unahamisha story!!
Hamna kitu pale unatetea ushabiki tu.Unamchukulia poa poa iwobi? Iwobi form yake si ndio ya kina willian kwa msimu anakupa goli 5?
Ndio maana kaenda Everton ,ana goli 2. Hadi sasa , kikosi chao ni bora kuliko cha Chelsea , hutaki subir mkutane ,pia sion mkimaliza juu yao , kama sheflied ,Norwich wanakusumbuen , hamjakutana na mamba , bado unaamini mtamaliza ndan ya top 6 ,itakuwa maajabu.
Masikini ya mungu hana kombe hata mojaAlexandre Lacazette since signing for Arsenal:
Man United: [emoji460][emoji457][emoji457][emoji457]
Spurs: [emoji460][emoji460][emoji457][emoji457]
Chelsea: [emoji460][emoji457]
Liverpool: [emoji460][emoji457]
Man City: [emoji460]
Europa League QF: [emoji460][emoji460][emoji460]
Europa League SF: [emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji457]
via @ArsenalFeverTM https://t.co/h8nQ9rZF76
Ndio msimu wake wa pili ,huu subir sasa ananza kubeba , wakati Chelsea inaelekea chpionshipMasikini ya mungu hana kombe hata moja
Mnachofanya Arsenal ni uonezi kwa wachezaji. Siyo fair kabisa
Kwahiyo unaamini hii Chelsea ni bora kuliko Everton? Acha unazi basi ,mkimaliza juu ya Everton au Leicester ,nitaomba nipigwe .ban ya maishaHamna kitu pale unatetea ushabiki tu.
Kepa huu ni msimu wake wa pili amecheza fainali tatu moja kachukua ubingwa kwa kuwapapasa ArsenalNdio msimu wake wa pili ,huu subir sasa ananza kubeba , wakati Chelsea inaelekea chpionship
Hayo utajuana na fanboys wenzakoKwahiyo unaamini hii Chelsea ni bora kuliko Everton? Acha unazi basi ,mkimaliza juu ya Everton au Leicester ,nitaomba nipigwe .ban ya maisha