Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata kinachoendelea sasa kinaonesha Chelsea inaweza kushuka darajaHuo mlibganisho unaosema unafanyika mwisho wa msimu na siyo sasa. Kinachoendelea kwa sasa ni kuona progress uliyonayo itakupa nini mwisho wa msimu? Arsenal inaanza kuwa kama Utd akishinda mechi mbili tatu mnaanza kuona mmekamilika sasa.
The end does not justify the means.
Kwahiyo kuanza Jana ndio kipa bora? Cha ajabu katunguliwa , sijui Mara ya mwisho kutoa cleansheet ni lini, mm siku hizi nikiona mahali kuna kepa ,naweka mzigo kuwa atafungwa tu , nakula helaNdo wajue thamani ya Kepa inaonekana kwa wanampira siyo vinginevyo
Halafu jaribu kutoa comment kimpira zaidi usi comment kwa mawazo ya kwamba unaniumiza mimi. Chelsea hata iwe mbovu kiasi gani sahau kushika nafasi ya 8 kushuka chini halafu leo unaongelea habari za kushuka daraja.Hata kinachoendelea sasa kinaonesha Chelsea inaweza kushuka daraja
Kwahiyo kuanza Jana ndio kipa bora? Cha ajabu katunguliwa , sijui Mara ya mwisho kutoa cleansheet ni lini, mm siku hizi nikiona mahali kuna kepa ,naweka mzigo kuwa atafungwa tu , nakula hela
Ndo wajue thamani ya Kepa inaonekana kwa wanampira siyo vinginevyo
Huyo kipa ni overrated ,mech kama hizo za kufuzu kudaka ndio unakuja kupiga kelele? Sasa mech kama hizo anatobolewa , hatoi cleansheet , kepa iwe mech ya mchangani iwe mech serious muda wowote kuna goli.Siyo kuanzia jana hebu fuatilia kiundani zaidi. Halafu nikukumbushe Kepa ana 24 y/o
Acha kujidanganya ,juz tu tumeshuhudia ikishika nafas za 10,Soma sentensi ya mwisho hapo. Kama tutamaliza nusu ya zile mechi 38 katika hali kama hii tunaweza kuwa katika mazingira magumu zaidi mwisho wa msimu.Halafu jaribu kutoa comment kimpira zaidi usi comment kwa mawazo ya kwamba unaniumiza mimi. Chelsea hata iwe mbovu kiasi gani sahau kushika nafasi ya 8 kushuka chini halafu leo unaongelea habari za kushuka daraja.
Kepa namjua toka yupo Bilbao , Perez akimtaka kwa £18m , January , biblao wakakataa na kumuwekea release clause ya £71m , Chelsea kichwa kichwa akaliwa ,wakati alikuwepo oblak mwenye release clause ya £92m.Siyo kuanzia jana hebu fuatilia kiundani zaidi. Halafu nikukumbushe Kepa ana 24 y/o
Unaelewa chochote katika manunuzi ya mchezaji pamoja na mikataba yake? Maana naona umeshupalia sana eti tumeliwa.Kepa namjua toka yupo Bilbao , Perez akimtaka kwa £18m , January , biblao wakakataa na kumuwekea release clause ya £71m , Chelsea kichwa kichwa akaliwa ,wakati alikuwepo oblak mwenye release clause ya £92m.
Ni kipa wa kiwango cha chini .
Mkuu unachoongea ni opinions zako kulingana na akili yako inavyokutuma ivyo sina cha kupinga wala kuongezea kwa sababu hakuna fact uliyotia ku justify ulicho andika.Acha kujidanganya ,juz tu tumeshuhudia ikishika nafas za 10,
Leo January haisajiri utanibishia vipi haiwez kushika nafas za 10 kushika chini . Ila endelea kubisha maana kabla ya msimu nimekuwa nikikwambia kwa kikosi hiki msitegemee miujiza , ligi imeanza bado unajipa matumaini , wakati Leicester city, Everton hawa tu wana vikos bora kushinda Chelsea .
Mimi nitaendelea kuwa na update taarifa zangu, niliwaambien ikifika mech 10 ,mpo ndan ya top 6 ,bas mnaenda kubeba EPL , na mtani prove wrong
Mara ya mwisho De Gea kusimama ilikua mechi gan na ni lini?Huyo kipa ni overrated ,mech kama hizo za kufuzu kudaka ndio unakuja kupiga kelele? Sasa mech kama hizo anatobolewa , hatoi cleansheet , kepa iwe mech ya mchangani iwe mech serious muda wowote kuna goli.
Kabla ligi haijaanza ulibisha sana , ligi imeanza hata kina Norwich wanawasumbua,Mkuu unachoongea ni opinions zako kulingana na akili yako inavyokutuma ivyo sina cha kupinga wala kuongezea kwa sababu hakuna fact uliyotia ku justify ulicho andika.
Mfano umesema hata Everton ana kikosi bora kuliko sisi. Nataka nikukumbushe kitu Chelsea ya msimu ulioisha imeshika nafasi ya 3 na ikakupapasa Europa League final kwa goli 4, haya mchezaji wa maana aliyeondoka ni Hazard ina maana wamebaki watu wa maana pia. Hiyo Everton msimu uliopita imeshika nafasi ya 8 na msimu huu imefanya usajili wa Kean, Gomes and the lost Iwobi na Delph hebu niambie hawa wanatuzidi nini kiubora? Mkuu sema Everton wana watu na siyo kikosi bora kuliko Chelsea. Au labda unaongrlea ubora gani?
Mm naona unabisha bila hoja ,Unaelewa chochote katika manunuzi ya mchezaji pamoja na mikataba yake? Maana naona umeshupalia sana eti tumeliwa.
Haya nyie wapenda vya bei rahisi mmepata nini ndani ya miaka 10 iliyopita?
Ulitaka aje kwenye timu ambayo inaenda kushuka daraja ?Anafurahia kuwa kwenye timu ambayo kipaumbele sio KUBEBA MAKOMBE bali kiuchumi zaidi.
Tatizo hutoi point unalalamika tu. Huyo Iwobi alikua Arsenal kafanya nini? Aje kuwika akiwa Everton. Sitegemei makubwa kutoka kwake. Nawaza Iwobi ndio yupo Chelsea sijui anamuweka nani benchi? Pedro? Pulisic? Odoi? Willian?Kabla ligi haijaanza ulibisha sana , ligi imeanza hata kina Norwich wanawasumbua,
Bado unaamin kuna wonders mbele ya safari, wakati ndio kwanza unaelekea kwenye miba na mamba wakali,,
Ninaposema mnashika nafas ya 10-15 namaanisha ,ila wewe unaleta ushabiki na mapenzi ,
Hivi Chelsea ana kikosi gan cha kumzidi Everton huyu mwenye Iwobi- Kean -richarlson??
Nimekuuliza swali hapo halafu unasema nabisha bila hojaMm naona unabisha bila hoja ,
Arsenal haikuwa level yake , pale Everton wameanza wote watatu iwobi Kean richarlson umeona moto wao ? Ndio ufananishe na Chelsea hii ya Abraham na pulisic? Kwa kipa wenu alivyopazia mkikutana na Everton nitakukumbusha ,Tatizo hutoi point unalalamika tu. Huyo Iwobi alikua Arsenal kafanya nini? Aje kuwika akiwa Everton. Sitegemei makubwa kutoka kwake. Nawaza Iwobi ndio yupo Chelsea sijui anamuweka nani benchi? Pedro? Pulisic? Odoi? Willian?
Siamin wonder naamini kinachoonekana sasa. Tunazumngumzia ubora wa Chelsea na Everton wewe unahamisha story!!