Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna shida leo Arsenal wanakosa penalty hapa! mnabebwa kuna red card very controversial ama kweli kunguru hafugiki!
 
Hizi pasi zetu za kwenye box zina kera sana saa nyingine.kwanini hawapendi kujaribu mashuti ya mbali? nafasi nyingi tunapata lakini tunaendekeza pasi.
 
wachezaji wetu wenger kawaroga pale mbele ya goli na mafundisho yake.


yani tunataka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu.
 
Na penati nayo mnataka muongezewe hatua?
Mbona fabgregas kapoteza?
 
Walcott haje sasa ajae kuwakimbiza jamaa manake sioni hapa mtu wa kutuokoa kkwenye hii presha tunayopewa.
 
Tunahitaji moja ku-secure ushindi sasa manake bado kabisa mda wanao wa kutosha kubadirisha matokeo.
 
Sema Masa Sema Masa! upo au umeshaingia mitini? Bado kamoja ili tumalize kazi ya jioni hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…