Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mimi sijui mpira kweli, sio mpenda sifa hata siku moja labda nipitiwe tu sababu na mimi ni binadamuWewe hujui lolote kuhusu mpira , huwa unapuyanga, ndio maana binafsi nilishakuacha ubwabwaje,
Kutokujua sio dhambi, ila ni MTU unayeenda chaka sana ,Mimi sijui mpira kweli, sio mpenda sifa hata siku moja labda nipitiwe tu sababu na mimi ni binadamu
Naona mshajipa status za mnaojua mpira
Mnakuwa watu wa kutoa maneno ya kashfa,shombo
Jomba vip firmino nae n kilaza? maana nae goli zake n hzohzo 10+ kwa msimu. Msmu alio funga goli nying n wa 17/18 goli 15 mechi 37, nje ya yapo n goli 12 kushuka chini. Vp n morata mwingine?Jibu hoja
Morata wa Chelsea nae alikuwa anafunga goli 13 za ligi sawa na anazofunga huyo Lacazette , ila kwa kuwa Chelsea ni kama wako juu yenu kihadhi walimuona Morata Garasa licha ya kufunga magoli sawa na huyo Lacazette na kumtoa kwa mkopo and finally kumuuza
Jomba vip firmino nae n kilaza? maana nae goli zake n hzohzo 10+ kwa msimu. Msmu alio funga goli nying n wa 17/18 goli 15 mechi 37, nje ya yapo n goli 12 kushuka chini. Vp n morata mwingine?
Mkuu huyu jamaa mtashindwana , Mimi niwe mkweli Nina uelewa mdogo ila huyo jamaa kazidi, ni bora kujifunza kwa wengine ,kuliko kuwa mjuaji wakati hujui , Mimi nikiri nimejifunza vitu vingi kupitia kina mosdef, n.k hata nikiongea kwa watu nakuwa na uhakika , sasa ndugu yangu hapo hapend kujifunza ,kabla hajajenga hoja mbele za watu, maana anamzungumzia laca ambaye ni bully straiker pamoja na kufunga magoli 10+ magumu lkn ndiye anayempa urahis sana Auba ,Jomba vip firmino nae n kilaza? maana nae goli zake n hzohzo 10+ kwa msimu. Msmu alio funga goli nying n wa 17/18 goli 15 mechi 37, nje ya yapo n goli 12 kushuka chini. Vp n morata mwingine?
Rashford mlisema ni Rooney mpya
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.
Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.