Xhaka kula umeme nimependa nadhani gemu zijazo atamtumia lt11 kama dm huku cebalos na matteo wakiwa kama CM.. xhaka ana matatizo saana akicheza midfielder ya chini hasa akiwa pekee na wapinzani wakiwa na presha ya hali ya juu.. amtumie lt11 nadhani alitaleta matokeo chanya.
Jana tumefungwa magoli fulani ambayo kiuhalisia hatukupaswa kufungwa ni uzembe mkubwa... Na makosa km haya ndio yanatunyima points daima, tunafunga ila tunaruhusu magoli, leno alifanya saves nyingi nzuri, na pia sie tukakosa nafasi kadhaa za wazi.. ni kuongeza umakini katika umaliziaji na kuongeza umakini katika uzuiaji.