Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Herrera and lukaku. Without replacing them, really?? That was a deadly mistakeEd mpuuzi na kocha nae anachangia anakubali kuuza wachezaj wakat hana mbadala tayar washajichanganya fikiria mtu kama herrera unawezaji kumuacha aende hapa nikifikiria naumia sana
Hili swala mnalichukulia kimasihara ila ngoja muda utimie.Ameassist. Ana pace , ana dribbling,
Tumeibiwa kivip? Niswala LA muda tu aizoee EPL , ndio kwanza ana 24yrs old
Mashabiki wa man untd wana ubongo unaosahau Kama wa kuku...
Wameshasahau hata Gabriel Obertan aliitwa new Cr7, Wamesahau kabisa Januzaj waimuita new Cr7....
Yaani mtu akifunga vigoli viwili vitatu mnamuita Cr7 kwa sababu kwenye akili zenu hamtaki kukubali kumove on na timu yenu ni timu ya kawaida sana kwa sasa mnashabikia kwa mihemuko na sio facts.
Mkuu,mapanga ya nini sasa unataka kunikatakata uniue? Nizungumzie mimi ndio nimesema, mashabiki wa man man u. Mimi ndio nimesema na isipokuwa njoo nihoji mimi. |
Mkuu kutoa sare na spurz sio sawa na kutoa sare na kina Norwich,Aroon umehifadhi maneno ya King Ngwaba?
Timu sio kabila mkuu unaweza kuhamia Arsenal tu kwanini uteseke na wakati vizuri vipo.
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.
Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
Mm sina shaka na uwezo wa James ,na niliipongeza man u kuachana na kumwaga hela kwa magarasa , ila sion sababu ya kuanza mapema kumpambanisha na pepe,
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.
Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
Ni mwanzo mzuri ,japo bado sikuona sababu ya cebalos kuanza bench, na toreira kuchezeshwa namba 7 ,hajawahi kufanya vzr kwenye 4-3-3 ,Mlikuwa mnalilia trio. Leo imeanzishwa kama mtakavyo.
Huyo jamaa anakujaga kwa kubip , kenge ni kibwagizo tuwewe ndio huwa unahimiza tusiitane majina ya ajabu.
Mmepanic na mmefeli
Mkuu unaota ?Hili swala mnalichukulia kimasihara ila ngoja muda utimie.View attachment 1195296
Hili ndio tatizo lenu kubwa nyie. Akili zenu ni za muda mfupi kama maisha ya funza. Mnakumbuka Lingard alishawahi kufananishwa na Rooney huku mki edit picha zake mkimuwekea na tuzo ya Ballon d'or siyo nyie? Yako wapi sasa hivi
Tena tunafanya hivyo ili kumuinua Pepe, Daniel James ni moto mwingine kabisa.
Huu msimu ukiisha pamoja na ubovu wa MUFC atakuwa anazungumzwa kama CR7 mpya ndani ya MUFC. Vuta pumzi, tuombe uhai.
Hili swala mnalichukulia kimasihara ila ngoja muda utimie.View attachment 1195296
Pengine hii ndio itakua mara ya kwanza kirahisi.Mkuu unaota ?
Lini mlichukua mchezaji arsenal kirahisi?
The kid has got a massive talent.Good battling from the team. Ningefurah zaidi kama tungeshinda ila pointi moja si haba haswa kwa kuwa timu tuliyocheza nayo si ya kitoto na tayari tulishapigwa mbili. Guendouzzi, what a talent. The kid has got massive potential.
Naona hajatoka mtu hapo hahahahahaLeo hatoki mtuView attachment 1195153